Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 82

Year: 2013

Wanajeshi wa UN Wauwawa Nchini Mali

Posted on: October 24, 2013 - jomushi
Wanajeshi wa UN Wauwawa Nchini Mali

WANAJESHI wawili wa Kulinda amani wa Umoja wa Mataifa, wameuawa na wengine sita kujeruhiwa vibaya katika shambulizi la kujitoa mhanga Kaskazini mwa Mali. Raia wa…

Continue Reading....

Uswisi Sasa Kurejesha Mabilioni ya Mafisadi Tanzania

Posted on: October 24, 2013October 24, 2013 - jomushi
Uswisi Sasa Kurejesha Mabilioni ya Mafisadi Tanzania

SAKATA la vigogo kuficha mabilioni ya shilingi katika benki za Uswisi, limechukua sura mpya baada ya Serikali ya nchi hiyo kutunga sheria inayowabana walioweka fedha…

Continue Reading....

Rambirambi Kutoka Ikulu Kifo cha James Kombe

Posted on: October 23, 2013 - jomushi
Rambirambi Kutoka Ikulu Kifo cha James Kombe

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi…

Continue Reading....

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Kikwete Atua Dodoma

Posted on: October 23, 2013 - jomushi
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Kikwete Atua Dodoma

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete baada ya kuwasili mjini Dodoma Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimsalimia Makamu…

Continue Reading....

Waziri Pinda Ainadi Tanzania Ughaibuni

Posted on: October 23, 2013 - jomushi
Waziri Pinda Ainadi Tanzania Ughaibuni

*Azialika kampuni za Kichina kuja Tanzania   WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewaeleza washiriki wa Maonesho 14 ya Kimataifa ya China Magharibi kuwa Tanzania ni nchi…

Continue Reading....

Wakulima wa Kahawa Rombo Watakiwa Kutokata Tamaa

Posted on: October 23, 2013 - jomushi
Wakulima wa Kahawa Rombo Watakiwa Kutokata Tamaa

Yohane Gervas, Rombo WAKULIMA wa Kahawa Wilaya ya Rombo wametakiwa kutokata tamaa kulima zao hilo licha ya uwepo wa changamoto kadhaa katika uzalishaji wa zao…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari