Year: 2013
Wanafunzi Tanzania Wasisitizwa Kujiunga na Vilabu vya Umoja wa Mataifa
Mgeni rasmi Balozi wa Hispania nchini, Luis Manuel Cuesta Civis akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mzizima umuhimu wa kujiunga na vilabu…
Continue Reading....Jamal Malinzi Rais Mpya TFF, Atoa Msamaha kwa Waliofungiwa na Tenga
RAIS mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametoa msameha kwa wanachama wote wa shirikisho hilo waliofungiwa chini ya Utawala wa rais aliyemaliza…
Continue Reading....‘Tuwafadhili wa Watoto Yatima Kielimu’
Na Magreth Kinabo – MAELEZO RAIS Jakaya Kikwete ameitaka jamii kuwa na tabia ya kuwafadhili watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu kwenye elimu, chakula na malazi ili waweze kuendesha…
Continue Reading....Baba Mzazi wa Wema Sepetu Afariki Dunia Dar
BABA mzazi wa aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Balozi Issac Sepetu amefariki dunia leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Mzee Issac Sepetu amefariki…
Continue Reading....Viongozi Chadema Wazipiga Kavukavu Mkutano wa Mbowe
MKUTANO wa Baraza la Uongozi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini juzi uligeuka ukumbi wa ngumi, baada ya Mwenyekiti wa chama…
Continue Reading....