TANZANIA ni miongoni mwa nchi tano za Afrika ambazo zimejitolea kutoa askari wa kuunda Kikosi cha Kukabiliana na Migogoro ya Kijeshi Barani Afrika cha African…
Continue Reading....Year: 2013
Frederick Sumaye Amvaa Edward Lowassa Hadharani
VITA ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 imeingia katika sura mpya baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye kumlalamikia mrithi wake katika…
Continue Reading....Lowassa Ataka Serikali ya JK Ifanye Maamuzi Magumu..!
Na Damas Makangale, Mhariri MOblog WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwa mara nyingine tena ameibuka na kauli ambayo aliwahi kuitoa huko nyuma ya viongozi…
Continue Reading....Ikulu Yatoa Pole Msiba wa Vuai Ali Vuai, Azikwa Zanzibar
Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Pongwe pawani wakichukua jeneza lenye mwili wa Marehemu Baba yake Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali…
Continue Reading....WAMA, PRRR Kushirikiana Kutokomeza Saratani ya Shingo ya Uzazi na Matiti
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (wa tatu mstari wa mbele kulia) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya ujumbe kutoka…
Continue Reading....TFF Yataka Orodha ya Waliosamehewa na Msamaha wa Malinzi
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetuma waraka kwa vyama vya mpira wa miguu vya wilaya, mikoa na vyama shiriki kuvitaka kuwasilisha orodha ya…
Continue Reading....