Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 56

Year: 2013

Uteuzi wa JK; Prof Mtambo na Manongi Waula

Posted on: November 12, 2013 - jomushi
Uteuzi wa JK; Prof Mtambo na Manongi Waula

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wa Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Viwanda (TIRDO), Mhifadhi Mkuu…

Continue Reading....

Bajeti ya Serikali Mwaka 2014 Ipunguze Vifo kwa Wajawazito

Posted on: November 12, 2013 - jomushi
Bajeti ya Serikali Mwaka 2014 Ipunguze Vifo kwa Wajawazito

ZAIDI ya Wanawake 8,700 hufariki duni kila mwaka nchini Tanzania kutokana na matatizo ya ujauzito na hasa wakati wa kujifungua. Takwimu hizi zinaonesha takribani wanawake…

Continue Reading....

Ajinyonga kwa Mtandio Chumbani Mwake

Posted on: November 12, 2013 - jomushi
Ajinyonga kwa Mtandio Chumbani Mwake

Yohane Gervas, Rombo MWANAMKE mmoja aliyetambulika kwa jina la Maria Evansi (42) mkazi wa Kijiji cha Kaswira, Nanjara Kibaoni, Tarafa ya Tarakea wilayani Rombo amekutwa…

Continue Reading....

CECAFA Wataja Waamuzi Kombe la Chalenji 2013

Posted on: November 11, 2013 - jomushi
CECAFA Wataja Waamuzi Kombe la Chalenji 2013

BARAZA la Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limewataja waamuzi tisa na waamuzi wasaidizi tisa watakao chezesha Mashindano ya Kombe la CECAFA Chalenji.…

Continue Reading....

Manumba Aachia Ngazi Jeshi la Polisi, Mungulu Amkaimu

Posted on: November 11, 2013 - jomushi
Manumba Aachia Ngazi Jeshi la Polisi, Mungulu Amkaimu

ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba amestaafu rasmi kulitumikia Jeshi la Polisi Nchini. Manumba amelazimika kuacha kulitumikia jeshi hilo baada…

Continue Reading....

JK Atuma Rambirambi Kifo cha Mfanyakazi wa Bunge

Posted on: November 11, 2013 - jomushi
JK Atuma Rambirambi Kifo cha Mfanyakazi wa Bunge

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari