Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 53

Year: 2013

Katibu Mkuu wa CCM, Kinana Awasilimia Mtwara Tayari kwa Ziara ya Ruvuma na Mbeya

Posted on: November 14, 2013 - jomushi
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana Awasilimia Mtwara Tayari kwa Ziara ya Ruvuma na Mbeya

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, wakisalimiana na viongozi wa CCM…

Continue Reading....

Banana Zorro Excelled in the Swahili Form of R&B…!

Posted on: November 14, 2013 - jomushi
Banana Zorro Excelled in the Swahili Form of R&B…!

THE son of Tanzanian legendary Dance singer Zahir Ali Zorro, Banana Zorro has excelled in the Swahili form of R&B that takes much attention on Spanish flamenco…

Continue Reading....

Kontena Lenye Meno ya Tembo Lakamatwa Zanzibar

Posted on: November 14, 2013 - jomushi
Kontena Lenye Meno ya Tembo Lakamatwa Zanzibar

JUHUDI za kupambana na wasafirishaji nyara za Serikali na wahujumu uchumi nchini Tanzania zimezidi kuzaa matunda, baada ya shehena nyingine ya meno ya Tembo kukamatwa…

Continue Reading....

Madaktari Afrika Kusini Wataja Kilichomuua Dk Mvungi

Posted on: November 14, 2013 - jomushi
Madaktari Afrika Kusini Wataja Kilichomuua Dk Mvungi

HOSPITALI ya Millpark ya Johannesburg, Afrika Kusini, imesema madaktari waliokuwa wakimtibu aliyekuwa Kamishna wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi walibaini kuharibika kwa…

Continue Reading....

JK Aenda Sri-Lanka Kwenye Mkutano wa CHOGM

Posted on: November 13, 2013 - jomushi
JK Aenda Sri-Lanka Kwenye Mkutano wa CHOGM

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka jioni ya leo tarehe 13 Novemba, 2013 kuelekea Colombo , Sri-Lanka kuhudhuria kikao cha siku tatu (3) cha Wakuu wa…

Continue Reading....

Dk Gharib Bilal Afungua Tamasha la 11 la Asasi za Kiraia Dar

Posted on: November 13, 2013 - jomushi
Dk Gharib Bilal Afungua Tamasha la 11 la Asasi za Kiraia Dar

   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal,  akibofya kitufye kuashiria kuzindua rasmi Tovuti ya Asasi za Kiraia, wakati…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari