WATU 11 wameuawa na wengine 15 kujeruhiswa mapema Alhamisi kwenye shambulio la kulipiza kisasi baina ya jamii mbili zinazohasimiana katika eneo la Tana River Delta.…
Continue Reading....Year: 2013
Taifa Stars Yawasili Salama Ethiopia, Kukipiga Leo
TAIFA Stars imefika salama nchini Addis Ababa tayari kwa mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji Ethiopia inayotarajia kufanyika leo. Mechi inachezwa Januari 11 Addis Ababa…
Continue Reading....DSTV Tanzania Yawatoa Hofu Wateja Wake Juu ya Mabadiliko ya Digitali
Meneja Mahusiano wa Multichoice Tanzania Barbara Kambogi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi wa MultiChoice Africa kwa ukanda wa Afrika Mashariki,…
Continue Reading....Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora Wapamba Moto
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, leo, Januari 10, 2013, amekamilisha ziara yake yenye mafanikio makubwa katika Mkoa wa Tabora kwa…
Continue Reading....Uzinduzi Kampeni ya Kilimo Kwanza kwa Vijana wa Kata Kwadelo Mkoani Dodoma
Diwani Omary Kariati wa Kata ya Kwadelo, Kondoa mkoani Dodoma, akizungumza na wananchi wa Kata hiyo, baada ya kuwashili katika kata hiyo jana kuzindua Kampeni…
Continue Reading....JK Awaagiza Viongozi Kuondoa Wavamizi wa Mabonde na Misitu
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewaagiza viongozi nchini kuwaondoa mara moja watu wote waliovamia misitu na vyanzo vya maji,…
Continue Reading....