WAKAZI wawili wa Kijiji cha Karungu, Kata ya Ivuna, Wilaya ya Momba, mkoani Mbeya wamefariki dunia baada ya kufukiwa wakiwa hai katika kaburi moja na…
Continue Reading....Year: 2013
Wapiganaji Wauteka Mji Mwingine Mali
Wapiganaji wa kiisilamu walioteka Kaskazini mwa Mali Wapiganaji wa kiisilamu wameuteka mji uliokuwa unadhibitiwa na wanajeshi wa serikali licha ya harakati za kijeshi dhidi ya…
Continue Reading....Tenga Urais TFF basi
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amesema hatagombea tena wadhifa huo katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Februari 24 mwaka huu. Akizungumza…
Continue Reading....Saba Wafariki Baada ya Mabasi Kugongana Wilayani Bunda
WATU saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa kufuatia mabasi mawili kugongana uso kwa uso katika Kijiji cha Nyatwali Wilayani Bunda Mkoani Mara.…
Continue Reading....