Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 453

Year: 2013

Tiketi za Cameroon na Taifa Stars Kuanza Kuuzwa Leo

Posted on: February 4, 2013February 4, 2013 - jomushi
Tiketi za Cameroon na Taifa Stars Kuanza Kuuzwa Leo

TIKETI kwa ajili ya pambano la kimataifa la kirafiki kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Cameroon (Indomitable Lions) zinaanza kuuzwa Febaruari 5 mwaka huu katika…

Continue Reading....

Hotuba ya CCM Kutimiza Miaka 36 Mkoani Kigoma

Posted on: February 4, 2013 - jomushi
Hotuba ya CCM Kutimiza Miaka 36 Mkoani Kigoma

HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, KATIKA SHEREHE ZA KUTIMIZA MIAKA 36…

Continue Reading....

Mpango wa Usafiri Huru Anga EAC Waandaliwa

Posted on: February 4, 2013 - jomushi
Mpango wa Usafiri Huru Anga EAC Waandaliwa

Na Mwandishi wa EANA, Arusha OFISA Mkuu Mwandamizi wa Msuala ya Anga Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ladislaus Matindi amesema mchakato wa usafiri huria wa…

Continue Reading....

Meya wa Ilala Awataka Watanzania Kuona Suala la Usafi linamgusa Kila Mmoja

Posted on: February 4, 2013February 4, 2013 - jomushi
Meya wa Ilala  Awataka Watanzania Kuona Suala la Usafi linamgusa Kila Mmoja

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akizungumzia mwamko wa watanzania katika kujitolea kufanya usafi ambapo amesema, bado ni mdogo ndio maana tulisema wakati…

Continue Reading....

Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Irina Bokova’s Awasili nchini

Posted on: February 4, 2013 - jomushi
Mkurugenzi Mkuu wa  UNESCO Irina Bokova’s Awasili nchini

span style=”color: #000000;”> Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akimlaki Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s aliyewasili nchini usiku wa…

Continue Reading....

JK Akutana, Afanya Mazungumzo na Maafisa Waandamizi wa Serikali za Burundi na DRC

Posted on: February 4, 2013February 4, 2013 - jomushi
JK Akutana, Afanya Mazungumzo na Maafisa Waandamizi wa Serikali za Burundi na DRC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili, Februari 3, 2013, amekutana na kufanya mazungumzo na maofisa waandamizi wa Serikali za nchi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari