Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 446

Year: 2013

Miss Utalii Tanzania 2012/13 Kutembelea Hifadhi za Taifa

Posted on: February 8, 2013 - jomushi
Miss Utalii Tanzania 2012/13 Kutembelea Hifadhi za Taifa

Miss Utalii Tanzania 2012/13 wiki ijayo wataanza ziara ndefu ya kutembelea Hifadhi za Taifa na vivutio vya utalii katika mikoa ya Dar es salaam, Morogoro,…

Continue Reading....

Nigeria, Burkina Faso Nani Zaidi Katika Fainali AFCON?

Posted on: February 8, 2013 - jomushi
Nigeria, Burkina Faso Nani Zaidi Katika Fainali AFCON?

NIGERIA na Burkina Faso zitakutana katika fainali ya mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika katika uwanja wa Soccer City siku kesho Jumapili, baada ya…

Continue Reading....

Wauwawa Wakitoa Chanjo ya Polio Nigeria

Posted on: February 8, 2013 - jomushi
Wauwawa Wakitoa Chanjo ya Polio Nigeria

RIPOTI kutoka nchini Nigeria zinasema kuwa watu 12 wakiwemo wafanyakazi waliokuwa wanatoa chanjo ya Polio kwa watoto, wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana. Maofisa…

Continue Reading....

Runinga Hupoteza Nguvu za Kiume

Posted on: February 8, 2013 - jomushi
Runinga Hupoteza Nguvu za Kiume

WANAUME wanaotumia muda wa saa tatu na zaidi kwa siku kutazama runinga wanapoteza nguvu za kiume ukilinganisha na wale wanaotazama runinga mara chache. Utafiti uliofanywa…

Continue Reading....

Handeni, Kilindi Wazimia kwa Njaa

Posted on: February 8, 2013February 8, 2013 - jomushi
Handeni, Kilindi Wazimia kwa Njaa

WAKATI wananchi wa Wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha njaa ikisababisha baadhi ya wanaume kukimbia familia zao, Wilaya ya Handeni na Kilindi mkoani Tanga, baadhi ya…

Continue Reading....

Mashauzi Classic Watumbuiza Bustani ya Magomeni

Posted on: February 8, 2013 - jomushi
Mashauzi Classic Watumbuiza Bustani ya Magomeni

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari