Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 443

Year: 2013

Mabondia Ramadhani na Njiku Wasaini Kukipiga Feb 14

Posted on: February 11, 2013 - jomushi
Mabondia Ramadhani na Njiku Wasaini Kukipiga Feb 14

Na Mwandishi Wetu MABONDIA Deo Njiku wa Morogoro na Omary Ramadhani wataingia uringoni Februari 14 katika Ukumbi wa Friends Corner Hotel Manzese kuwania Ubingwa wa…

Continue Reading....

Freddy Macha Atona Ki-‘Freedom’

Posted on: February 11, 2013 - jomushi
Freddy Macha Atona Ki-‘Freedom’

FREDDY Macha si jina geni kwa watanzania na wadau wasanaa popote pale duniani. Unapolitaja jina la Freddy Macha lazima utakugusia vipaji vya Mtanzania huyo mwenye…

Continue Reading....

Watu 100 Wauwawa Sudan Kusini Baada ya Kushambuliwa

Posted on: February 11, 2013 - jomushi
Watu 100 Wauwawa Sudan Kusini Baada ya Kushambuliwa

WAKUU wa Sudan Kusini wanasema watu zaidi ya 100 wameuwawa kwenye wizi wa mifugo. Taarifa zinasema watu wa kabila la Lou Nuer walishambuliwa Ijumaa katika…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Pinda Ashauri Kilimanjaro Kutumika Dhidi ya Mapambano ya Malaria

Posted on: February 11, 2013 - jomushi
Waziri Mkuu Pinda Ashauri Kilimanjaro Kutumika Dhidi ya Mapambano ya Malaria

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Mlima Kilimanjaro unaweza kutumika vizuri zaidi kwenye vita ya kupambana na ugonjwa wa malaria kwa wanamichezo na watu mashuhuri kuupanda…

Continue Reading....

SMZ Kupambana na Wanaodhalilisha Watoto

Posted on: February 11, 2013 - jomushi
SMZ Kupambana na Wanaodhalilisha Watoto

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amewataka waumuni wa dini ya Kiislamu…

Continue Reading....

Kampuni 22 Zajiunga Kuikabili Malaria Kupitia Michezo

Posted on: February 11, 2013February 11, 2013 - jomushi
Kampuni 22 Zajiunga Kuikabili Malaria Kupitia Michezo

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema makampuni yapatayo 22 yamejiunga na Mpango wa Kupambana na Malaria kupitia sekta binafsi na sekta ya michezo (Malaria Safe Companies)…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari