Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 43

Year: 2013

Mauaji Dar; Mtu Mmoja Aua,Ajeruhi na Kujiua kwa Risasi

Posted on: November 20, 2013 - jomushi
Mauaji Dar; Mtu Mmoja Aua,Ajeruhi na Kujiua kwa Risasi

MFANYABIASHARA wa magari, Gabriel Munisi (35), jana alijiua baada ya kumuua mtu mmoja na kujeruhi wengine watatu jijini Dar es Salaam katika tukio linalohusishwa na…

Continue Reading....

Watu 50 Wafukiwa na Kifusi, 20 Wauwawa kwa Bomu Somalia

Posted on: November 19, 2013 - jomushi
Watu 50 Wafukiwa na Kifusi, 20 Wauwawa kwa Bomu Somalia

WATU wawili wamefariki na wengine takriban 50 kukwama kwenye kifusi cha jengo baada ya paa la jumba la maduka lililokuwa likijengwa kuporomoka nchini Afrika Kusini.…

Continue Reading....

Usalama Barabarani Wamtangaza Athuman Hamis Kuwa Balozi Wao

Posted on: November 19, 2013 - jomushi
Usalama Barabarani Wamtangaza Athuman Hamis Kuwa Balozi Wao

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira A. Silima (kushoto) akizungumza na wanahabari pembeni yake ni Athuman Hamis balozi wa Usalama Barabarani. Naibu Waziri wa…

Continue Reading....

Dk Shein Afungua Kituo cha Polisi Mchangamdogo Zanzibar

Posted on: November 19, 2013 - jomushi
Dk Shein Afungua Kituo cha Polisi Mchangamdogo Zanzibar

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Millenia MCC Tanzania Pascal Assey, alipokuwa akizungumza wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Azindua Miradi ya Maji, Umeme ya Sh. 1.8bn/-

Posted on: November 19, 2013 - jomushi
Waziri Mkuu Azindua Miradi ya Maji, Umeme ya Sh. 1.8bn/-

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezindua miradi ya maji na umeme wilayani Arumeru yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni 1.8/- ikiwa ni utekelezaji wa…

Continue Reading....

Rais Kikwete Awasili Poland Kuwakilisha Afrika, Aushukuru Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi

Posted on: November 19, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Awasili Poland Kuwakilisha Afrika, Aushukuru Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Warsaw, Poland, asubuhi ya Novemba 19, 2013, kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari