Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 424

Year: 2013

Mkataba wa Kuleta Amani Kongo Watiwa Saini Ethiopia

Posted on: February 24, 2013 - jomushi
Mkataba wa Kuleta Amani Kongo Watiwa Saini Ethiopia

MKATABA wa kumaliza vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo leo umetiwa saini mjini Addis Ababa-Ethiopia na viongozi wa nchi za Maziwa Makuu. Viongozi…

Continue Reading....

Polisi Wazima Maandamano Lindi, Mtwara Hakukaliki

Posted on: February 24, 2013 - jomushi
Polisi Wazima Maandamano Lindi, Mtwara Hakukaliki

HALI ya usalama mkoani Mtwara bado tete baada ya jana Jeshi la Polisi kuwahamishia mkoani Lindi waandishi wa habari 150, waliokuwa katika mkutano wa siku…

Continue Reading....

PSPF Kujenga Jengo la Ghorofa 35 Jijini Dar es Salaam

Posted on: February 24, 2013February 24, 2013 - jomushi
PSPF Kujenga Jengo la Ghorofa 35 Jijini Dar es Salaam

SIKU MOJA baada ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) kuwatembezea wadau na wanachama wake katika nyumba za mradi wa nyumba za makazi…

Continue Reading....

Green Waste Pro Wakisafisha Fukwe za Kivukoni Front Dar es Salaam

Posted on: February 24, 2013 - jomushi
Green Waste Pro Wakisafisha Fukwe za Kivukoni Front Dar es Salaam

Picha juu na chini ni Wafanyakazi wa Hoteli ya Hyatt Regency wakishirikiana na Kampuni ya usafi ya Green Waste Pro kusafisha fukwe za Kivukoni Front…

Continue Reading....

JK Alipowasili Addis Ababa, Ethiopia

Posted on: February 24, 2013 - jomushi
JK Alipowasili Addis Ababa, Ethiopia

Continue Reading....

Waziri Mkuu Pinda Aunda Tume Kuchunguza Waliofeli Kidato cha Nne

Posted on: February 24, 2013 - jomushi
Waziri Mkuu Pinda Aunda Tume Kuchunguza Waliofeli Kidato cha Nne

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda ameunda Tume maalum itakayofanya uchunguzi wa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne ya 2012, ambayo yamezua mgogoro mkubwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari