Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 416

Year: 2013

Wajumbe Bodi ya Shirika la viwango Tanzania (TBS), Wateuliwa

Posted on: February 28, 2013 - jomushi
Wajumbe Bodi ya Shirika la viwango Tanzania (TBS), Wateuliwa

UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA TBS RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Prof.…

Continue Reading....

Waumini Kanisa Katoliki Wamuaga Papa Benedikt wa 16, Awapa Ujumbe Mzito Makadinali

Posted on: February 28, 2013 - jomushi
Waumini Kanisa Katoliki Wamuaga Papa Benedikt wa 16, Awapa Ujumbe Mzito Makadinali

KIONGOZI wa kanisa katoliki ulimwenguni, Papa Benedikt wa 16 atakaestaafu kuanzia february 28 na kujishughulisha zaidi na ibada na kutafakari, ameongoza misa yake ya mwisho…

Continue Reading....

Hatua za Lala Salama Uchaguzi wa Kenya

Posted on: February 28, 2013 - jomushi
Hatua za Lala Salama Uchaguzi wa Kenya

KINYANG’ANYIRO cha Uchaguzi Mkuu wa Kenya utakaofanyika Jumatatu kimeingia hatua ya lala salama hivi sasa, huku wagombea wakiendelea kuzunguka kwenye majimbo kuomba kura. Kura za…

Continue Reading....

‘Wafuasi 54 wa Ponda Wana Kesi ya Kujibu’

Posted on: February 28, 2013 - jomushi
‘Wafuasi 54 wa Ponda Wana Kesi ya Kujibu’

MAHAKAMAya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imetathmini ushahidi wa upande wa mashtaka yanayowakabili watu 54, wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Kiongozi wa Jumuiya na…

Continue Reading....

Rais Kagame Ampa Uwaziri Mtanzania Rwanda

Posted on: February 28, 2013 - jomushi
Rais Kagame Ampa Uwaziri Mtanzania Rwanda

RAIS Paul Kagame wa Rwanda amemteua Mtanzania, Profesa Silas Rwakabamba kuwa Waziri wa Miundombinu wa nchi hiyo katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanyika Jumatatu…

Continue Reading....

Katavi Watakiwa Kulima Kilimo cha Kisasa

Posted on: February 28, 2013 - jomushi
Katavi Watakiwa Kulima Kilimo cha Kisasa

Na Anna NKinda – Maelezo, aliyekuwa Mpanda WAKAZI wa Katavi wametakiwa kulima kilimo cha kisasa na kufuata ushauri wa wataalamu wa kilimo ili waweze kuvuna…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari