Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 387

Year: 2013

Kiingilio Mechi ya Stars Morocco 5,000/-, Timu 3 Zashuka Daraja

Posted on: March 19, 2013March 19, 2013 - jomushi
Kiingilio Mechi ya Stars Morocco 5,000/-, Timu 3 Zashuka Daraja

KIINGILIO cha chini katika mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Morocco (Lions of the Atlas) itakayochezwa Jumapili kwenye…

Continue Reading....

Rais wa China Kuzinduwa Ukumbi wa Mwalimu J. Nyerere

Posted on: March 19, 2013 - jomushi
Rais wa China Kuzinduwa Ukumbi wa Mwalimu J. Nyerere

Hassan Silayo-Maelezo RAIS wa China, Xi Jinping anatarajia kufungua Jengo la Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa la Julius Nyerere Convertion Centre lililopo jijini Dar-es-Salaam linalomilikiwa…

Continue Reading....

TFDA Watakiwa Kutobweteka na Mafanikio

Posted on: March 19, 2013 - jomushi
TFDA Watakiwa Kutobweteka na Mafanikio

Na Frank Shija –Maelezo RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amewataka watendaji wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kutobweteka na mafanikio wanayoyapata bali waendelee kufanya kazi…

Continue Reading....

Lwakatare Ashtakiwa kwa Ugaidi, Kupanga Kumdhuru Mwanahabari

Posted on: March 19, 2013 - jomushi
Lwakatare Ashtakiwa kwa Ugaidi, Kupanga Kumdhuru Mwanahabari

MKUU wa Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare na mwenzake Ludovick Rwezaura wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu waki kabiliwa…

Continue Reading....

Bi. Mary O.Nathan Atimiza Miaka 60

Posted on: March 18, 2013March 18, 2013 - jomushi
Bi. Mary O.Nathan Atimiza Miaka 60

TAREHE ya leo ndio aliyo zaliwa Mama mzazi wa Blogger na Mpigapicha nguli Tanzania, Mroki Mroki, Bi. Mary O.Nathan  (pichani) wa Kinyenze, Wilaya ya Mvomero…

Continue Reading....

JK Atuma Salam za Rambirambi kwa Said Mwema

Posted on: March 18, 2013 - jomushi
JK Atuma Salam za Rambirambi kwa Said Mwema

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Jenerali Saidi Mwema kuomboleza kifo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari