Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 372

Year: 2013

Hotuba ya Machi 31, 2013 ya Rais Kikwete kwa Watanzania

Posted on: April 1, 2013 - jomushi
Hotuba ya Machi 31, 2013 ya Rais Kikwete kwa Watanzania

HOTUBA YA MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWA WANANCHI, TAREHE 31 MACHI, 2013 Ndugu Wananchi; Naomba nianze kwa kumshukuru…

Continue Reading....

Rais Kikwete Azungumza na Naibu Rais Mteule wa Kenya, Ruto

Posted on: April 1, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Azungumza na Naibu Rais Mteule wa Kenya, Ruto

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete April 1, 2013 amekutana na Naibu Rais mteule wa Kenya, William Kipchirchir Samoei arap…

Continue Reading....

Machimbo Yauwa 13 Arusha, Waliokufa Ajali ya Ghorofa Dar Wafikia 36

Posted on: April 1, 2013 - jomushi
Machimbo Yauwa 13 Arusha, Waliokufa Ajali ya Ghorofa Dar Wafikia 36

WATU wapatao 13 wamekufa baada ya kufukiwa na kifusi kwenye machimbo ya kokoto. Kwa mujibu wa taarifa ambazo mtandao huu umezipata watu hao walifunikwa na…

Continue Reading....

Waliberia wa Azam FC Kuwasili Leo

Posted on: April 1, 2013 - jomushi
Waliberia wa Azam FC Kuwasili Leo

TIMU ya Barrack Young Controllers II ya Liberia inatarajia kuwasili nchini kesho (Aprili 2 mwaka huu) kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Kombe la…

Continue Reading....

Nne Zaingia Hatua ya Tatu Guinness Football Challenge Wiki Hii

Posted on: April 1, 2013April 1, 2013 - jomushi
Nne Zaingia Hatua ya Tatu Guinness Football Challenge Wiki Hii

JUMATATU iliyopita (Machi 28, 2013) kupitia televisheni za ITV na Clouds TV mashindano ya GUINNESSĀ® FOOTBALL CHALLENGEā„¢ yalituonesha ni kwanini ushirikiano ni muhimu kwa washiriki…

Continue Reading....

TFF Yatuma Rambirambi Coastal Union na Polisi Tabora

Posted on: April 1, 2013 - jomushi
TFF Yatuma Rambirambi Coastal Union na Polisi Tabora

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mchezaji wa zamani wa timu za Coastal Union, TPC na Taifa Stars, Behewa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari