Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 368

Year: 2013

Mvutano Kuhusu Haki ya Kuchinja Wanyama Wazua Vurugu Tunduma

Posted on: April 4, 2013 - jomushi
Mvutano Kuhusu Haki ya Kuchinja Wanyama Wazua Vurugu Tunduma

VURUGU kubwa zilizuka jana katika Mji wa Tunduma ambao ni makao makuu ya Wilaya ya Momba, Mkoa wa Mbeya, baada kutokea mvutano mkali kuhusu nani…

Continue Reading....

Korea Kaskazini Yaendeleza Vitisho

Posted on: April 4, 2013 - jomushi
Korea Kaskazini Yaendeleza Vitisho

HALI ya wasiwasi imezidi katika rasi ya Korea baada ya Korea Kaskazini kufunga maeneo muhimu yanayounganisha eneo la viwanda na Korea Kusini, huku Urusi na…

Continue Reading....

Mabondia Issa Omar na Shaban Madilu Kupima Uzito Jumamosi

Posted on: April 4, 2013 - jomushi
Mabondia Issa Omar na Shaban Madilu Kupima Uzito Jumamosi

MABONDIA Issa Omar na Shaban Madilu ambao wanatarajia kucheza pambano lao la raundi 10 Ubingwa wa UBO International, wakisindikizwa na wakongwe wa masumbwi nchini Joseph…

Continue Reading....

Timu ya Pili Kutoka Kenya Yatinga Fainali za Pan-African

Posted on: April 4, 2013 - jomushi
Timu ya Pili Kutoka Kenya Yatinga Fainali za Pan-African

KATIKA sehemu ya tatu jana (Aprili 3, 2013) usiku kupitia televisheni za ITV na Clouds TV, mashindano ya Guinness Football Challenge yalionesha ni jinsi gani…

Continue Reading....

Polisi Wawasaka Diwani na Mchungaji KKKT Vurugu za Tunduma

Posted on: April 4, 2013 - jomushi
Polisi Wawasaka Diwani na Mchungaji KKKT Vurugu za Tunduma

DIWANI wa Kata ya Tunduma, Frank Mwaijoka (Chadema) pamoja na Mchungaji wa Kanisa la KKKT katika eneo hilo la Tunduma wilayani momba Mkoani mbeya wametakiwa…

Continue Reading....

Mwanafunzi Kidato cha Pili Abebeshwa Mzigo Kulea Familia

Posted on: April 4, 2013 - jomushi
Mwanafunzi Kidato cha Pili Abebeshwa Mzigo Kulea Familia

Na Joachim Mushi, Handeni MWANAFUNZI wa kidato cha pili Shule ya Sekondari Komnyang’anyo, Mwenjuma Magalu (16) amejikuta akibeba mzigo wa kulea familia baada ya familia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari