Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 34

Year: 2013

Jerry Isaack Mruma Aliyeuwawa Nairobi Azikwa Dar

Posted on: November 26, 2013 - jomushi
Jerry Isaack Mruma Aliyeuwawa Nairobi Azikwa Dar

 Familia  ya Isaack Mruma ikiwa katika ibada maalum ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika Kanisa la KKKT, Usaharika wa Mbezi Beach Dar es Salaam. Kutoka  kushoto ni Mama mzazi wa…

Continue Reading....

Dk. Bilal Afungua Kongamano la Wanachama Shirikisho la Viwanda vya Utengenezaji Nguo

Posted on: November 26, 2013 - jomushi
Dk. Bilal Afungua Kongamano la Wanachama Shirikisho la Viwanda vya Utengenezaji Nguo

Continue Reading....

Matukio Katika Picha Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Wilayani Rungwe

Posted on: November 26, 2013 - jomushi
Matukio Katika Picha Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Wilayani Rungwe

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata mbao kwa ajili ya kupiga Kenchi za bati wakati aliposhiriki ujenzi wa shule ya…

Continue Reading....

JK Afanya Mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa UN

Posted on: November 25, 2013 - jomushi
JK Afanya Mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa UN

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mazungumzo na Bibi Mary Robinson, Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) katika eneo la Maziwa Makuu.…

Continue Reading....

FFU wa Ngoma Africa Band Waliteka Jiji la Bremen!

Posted on: November 25, 2013 - jomushi
FFU wa Ngoma Africa Band Waliteka Jiji la Bremen!

Bremen, Ujerumani BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU ughaibuni, usiku tarehe 23 Novemba 2013 walifanikiwa kwa mara nyingine…

Continue Reading....

Miaka 10 ya TCRA: Miaka Kumi ya Mapinduzi Katika Sekta ya Mawasiliano

Posted on: November 25, 2013 - jomushi
Miaka 10 ya TCRA: Miaka Kumi ya Mapinduzi Katika Sekta ya Mawasiliano

MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA: MIAKA KUMI YA MAPINDUZI YA MAWASILIANO TANZANIA Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inasheherekea maadhimisho ya miaka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari