Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 336

Year: 2013

Amuua Baba Yake kwa Ushirikina

Posted on: April 22, 2013 - jomushi
Amuua Baba Yake kwa Ushirikina

JESHI la Polisi mkoani Rukwa linamsaka Richard Jecap (30) mkazi wa kitongoji cha Matai A kwa tuhuma za kumuua baba yake kwa kumpiga mpini kichwani…

Continue Reading....

UFAFANUZI WA SERIKALI KUHUSU MADAI YA GRATIAN MUKOBA JUU YA MAZUNGUMZO YA SERIKALI NA CWT

Posted on: April 22, 2013 - jomushi
UFAFANUZI WA SERIKALI KUHUSU MADAI YA GRATIAN MUKOBA JUU YA MAZUNGUMZO YA SERIKALI NA CWT

JUMANNE, Aprili 09, 2013, Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Bwana Gratian Mukoba, alikaririwa na baadhi ya vyombo vya habari, likiwamo Gazeti la Mwananchi…

Continue Reading....

Matukio Katika Picha Ikulu Zanzibar

Posted on: April 22, 2013 - jomushi
Matukio Katika Picha Ikulu Zanzibar

Continue Reading....

Mapambano Kuhamasisha Ngumi Chalinze Yafanyika

Posted on: April 22, 2013 - jomushi
Mapambano Kuhamasisha Ngumi Chalinze Yafanyika

Na Mwandishi Wetu ZAIDI ya mashabiki 300 wamejitokeza kuangalia mpambano wa Masumbwi kwa ajili ya kuhamasisha mchezo wa ngumi Chalinze Mkoa wa Pwani pamoja na…

Continue Reading....

Wasanii Chipukizi 300 Kushiriki Maonesho ya Kukuza Vipaji

Posted on: April 22, 2013 - jomushi
Wasanii Chipukizi 300 Kushiriki Maonesho ya Kukuza Vipaji

WASANII chipukizi 300 kutoka vikundi 15 jijini Dar es Salaam wamejitokeza kushiriki maonesho ya kukuza vipaji yaliyoandaliwa na Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Jumamosi ya…

Continue Reading....

Daraja huko Norway

Posted on: April 22, 2013April 22, 2013 - admin
Daraja huko Norway

Hili Daraja lipo Norway na ukiliangalia kwa upande mmoja unaweza ukafikiri magari yanapotelea hewani…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari