Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 333

Year: 2013

Mbunge Halima Mdee Atoa Mil. 20 Kuchangia Kompyuta Shule za Msingi Kawe

Posted on: April 23, 2013 - jomushi
Mbunge Halima Mdee Atoa Mil. 20 Kuchangia Kompyuta Shule za Msingi Kawe

MBUNGE wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee ameahidi kuchangia jumla ya sh. milioni 20 ikiwa ni…

Continue Reading....

Ubalozi wa Ufarasa Washambuliwa kwa Bomu Nchini Libya

Posted on: April 23, 2013 - jomushi
Ubalozi wa Ufarasa Washambuliwa kwa Bomu Nchini Libya

SHAMBULIO la bomu lililotegwa ndani ya gari karibu na Ofisi za Ubalozi wa Ufaransa Mjini Tripoli nchini Libya limewajeruhi watu 2 na kusababisha hasara kubwa…

Continue Reading....

Rais Kikwete Azungumza Amani na Viongozi wa Dini

Posted on: April 23, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Azungumza Amani na Viongozi wa Dini

Na Mwandishi Wetu VIONGOZI wa dini wamewataka waumini kote nchini kulinda amani na umoja uliopo ili nchi isije ikaingia kwenye mgawanyiko wa kidini na kuleta…

Continue Reading....

Dk. Mgimwa Afanya Mazungumzo na Waziri wa Ushirika wa Kimataifa wa Canada, Fantino

Posted on: April 23, 2013 - jomushi
Dk. Mgimwa Afanya Mazungumzo na Waziri wa Ushirika wa Kimataifa wa Canada, Fantino

Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa akutana na Waziri wa Ushirika wa Kimataifa wa Canada Mhe. Julian Fantino kujadili vipaumbele vya maendeleo ambavyo ni Elimu,…

Continue Reading....

Dk. Shein Katika Ziara ya Kukiimarisha Chama

Posted on: April 23, 2013 - jomushi
Dk. Shein Katika Ziara ya Kukiimarisha Chama

Continue Reading....

Mama Pinda Aiasa Jamii Kusaidia Wasiojiweza

Posted on: April 23, 2013 - jomushi
Mama Pinda Aiasa Jamii Kusaidia Wasiojiweza

  MKE wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda amewataka Watanzania kujitoa kwa hali na mali kuwasaidia watu wenye uhitaji ili nao waweze kujiamini na kujiona…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari