Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 312

Year: 2013

Mama Salma Aomba Kusaidiwa Watoto wenye Mtindio wa Ubongo Kuwait

Posted on: May 6, 2013May 6, 2013 - jomushi
Mama Salma Aomba Kusaidiwa Watoto wenye Mtindio wa Ubongo Kuwait

USHIRIKA na Kituo cha Watoto akiomba kituo cha watoto wenye mtindio wa ubongo kushirikiana na Tanzania kutoa mafunzo kwa watoto hao Na Anna Nkinda –…

Continue Reading....

Mkongo wa Taifa Kupunguza Gharama za Mawasiliano

Posted on: May 6, 2013 - jomushi
Mkongo wa Taifa Kupunguza Gharama za Mawasiliano

Na Immaculate Makilika- Maelezo Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano umeanza kutumika tangu mwezi July,2010, ambapo hadi kufikia  Machi  Mwaka huu  makampuni 7 ya Mawasiliano (Telecom…

Continue Reading....

Serikali kufufua kilimo cha kahawa

Posted on: May 6, 2013 - jomushi
Serikali kufufua kilimo cha kahawa

Na Immaculate Makilika- Maelezo  SERIKALI imeandaa mkakati wa kuendeleza  kilimo cha kahawa ( Tanzania Coffee Industry Development  Strategy,2012-2022) kwa lengo la kuendeleza kilimo cha  zao …

Continue Reading....

TSH. Bilioni 876.3 Kutatua Msongamano wa Magari Dar

Posted on: May 6, 2013May 6, 2013 - jomushi
TSH. Bilioni 876.3 Kutatua Msongamano wa Magari Dar

Na Immaculate Makilika- Maelezo SERIKALI imesema   inatekeleza miradi ya kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam yenye thamani ya sh. bilioni 876.336  …

Continue Reading....

Dk Shein: Wanao Potosha Falsafa ya Mwenge Hawatutakii Mema

Posted on: May 6, 2013May 6, 2013 - jomushi
Dk Shein: Wanao Potosha Falsafa ya Mwenge Hawatutakii Mema

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amezindua mbio za Mwenge wa Uhuru na kuwaeleza wananchi wa Tanzania…

Continue Reading....

Tanzania Yaungana na Kenya Nusu Fainali

Posted on: May 6, 2013 - jomushi
Tanzania Yaungana na Kenya Nusu Fainali

Daniel, Mwalimu, Kenneth na Wills wataendelea kuziwakilisha nchi zao kuwania kitita cha dola za kimarekani 250,000 na nafasi ya kuvishwa taji la ubingwa wa Pan-African.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari