Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 294

Year: 2013

Yanga Yauwa Simba, Yaichapa 2-0 Uwanja wa Taifa

Posted on: May 18, 2013 - jomushi
Yanga Yauwa Simba, Yaichapa 2-0 Uwanja wa Taifa

Na Mwandishi Wetu TIMU ya Yanga ya Dar es Salaam imekamilisha mchezo wake wa mwisho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa kuibanjua Timu ya…

Continue Reading....

Bondia Jonas Segu Aweka Historia Thailand, Apigwa…!

Posted on: May 18, 2013 - jomushi
Bondia Jonas Segu Aweka Historia Thailand, Apigwa…!

          TANZANIA imeweka historia mpya kwenye ngumi za kulipwa nchini Thailand baada ya mabondia wake kuwa wanapigwa kila mara wanapokwenda kuiwakilisha nchi na bara la…

Continue Reading....

Ugaidi Bungeni Dodoma

Posted on: May 18, 2013 - jomushi
Ugaidi Bungeni Dodoma

*Wabunge waonywa, waambiwa wasipaki magari nje ya uzio, *Dk. Nchimbi asema ulinzi umeimarishwa kuliko kawaida BUNGE limekumbwa na wasiwasi, baada ya kuwapo tetesi za shambulio…

Continue Reading....

Waziri Dk Mwakyembe, Serukamba ‘Waingia’ Vitani

Posted on: May 18, 2013May 18, 2013 - jomushi
Waziri Dk Mwakyembe, Serukamba ‘Waingia’ Vitani

WAZIRI wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe ameingia katika msuguano wa chinichini na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Peter Serukamba ambaye alidaiwa…

Continue Reading....

Anglikana Tanzania Lamsimika Askofu Mkuu wa Sita, Dk Erasto Chimeledya

Posted on: May 18, 2013 - jomushi
Anglikana Tanzania Lamsimika Askofu Mkuu wa Sita, Dk Erasto Chimeledya

Na Mwandishi Wetu, Dodoma KANISA la Anglikana Tanzania limemsimika Askofu Mkuu Mpya wa Kanisa hilo, Dk Jacob Erasto Chimeledya kuwa askofu Mkuu wa Sita wa…

Continue Reading....

Wapiganaji 30 wa Boko Haram Wauwawa Nigeria

Posted on: May 17, 2013 - jomushi
Wapiganaji 30 wa Boko Haram Wauwawa Nigeria

TAKRIBAN wapiganaji 30, wa waasi nchini Nigeria, wameuawa kwenye mashambulio ya anga yaliyofanywa na jeshi la serikali, Kaskazini Mashariki mwa nchini hiyo. Msemaji wa jeshi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari