Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 288

Year: 2013

Ghasia Kubwa Zazuka Mtwara Tena

Posted on: May 23, 2013 - jomushi
Ghasia Kubwa Zazuka Mtwara Tena

HALI ya usalama mkoani Mtwara ni tete. Mtu mmoja anaaminika kufariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kutokana na vurugu kubwa zilizozuka jana huko Mtwara baada…

Continue Reading....

Afrika Kusini Kuamua Mechi ya Taifa Stars Vs Morocco

Posted on: May 23, 2013 - jomushi
Afrika Kusini Kuamua Mechi ya Taifa Stars Vs Morocco

SHIRIKISHO la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limemteua mwamuzi kutoka Afrika Kusini kuchezesha mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia, Kanda ya Afrika kati…

Continue Reading....

Mwalimu Nyerere Akumbukwa kwa Mchango Wake Afrika

Posted on: May 23, 2013 - jomushi
Mwalimu Nyerere Akumbukwa kwa Mchango Wake Afrika

Na Hassan Abbas, Addis Ababa WAKATI Umoja wa Afrika (AU) ukitimiza miaka 50 na Mpango wa Afrika Kujitaghmini Kiutawala Bora (APRM) ukitimiza miaka 10, viongozi…

Continue Reading....

Chissano Akemea ‘Urais wa Maisha’ Afrika

Posted on: May 22, 2013 - jomushi
Chissano Akemea ‘Urais wa Maisha’ Afrika

Na Hassan Abbas RAIS Mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano amewataka viongozi wa sasa wa Bara la Afrika kuwa tayari kutetea na kuenzi misingi ya utawala…

Continue Reading....

Fani ya Uandishi wa Habari Imevamiwa…!

Posted on: May 22, 2013 - jomushi
Fani ya Uandishi wa Habari Imevamiwa…!

WATU wengi kwa sasa wameibuka na kutokea kuipenda fani ya uandishi wa habari bila kujua misingi na miiko ya uandishi wa habari. Tatizo moja ambalo…

Continue Reading....

Raia Waachwa Nje ya Mchakato wa Mtangamano wa EAC-Utafiti

Posted on: May 22, 2013 - jomushi
Raia Waachwa Nje ya Mchakato wa Mtangamano wa EAC-Utafiti

Na Mtuwa Salira, EANA Arusha MATOKEI ya kwanza ya utafiti juu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeonyesha kwamba jumuiya hiyo iliundwa kama chombo kilichoandaliwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari