Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 277

Year: 2013

Balozi wa Biswaro Awapa Changamoto Stars

Posted on: May 30, 2013 - jomushi
Balozi wa  Biswaro Awapa Changamoto Stars

BALOZI wa Tanzania nchini Ethiopia, Joram Biswaro amewataka wachezaji wa Taifa Stars kuhakikisha wanaipeleka timu hiyo kwenye fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwakani nchini…

Continue Reading....

Ziara ya Kinana Mkoani Njombe

Posted on: May 30, 2013 - jomushi
Ziara ya Kinana  Mkoani Njombe

*Akagua ufukwe wa ziwa Nyansa katika mwambao wa ziwa hilo kwenye kijiji cha Lupingu, wilayani Ludewa, na kuwambia wananchi wasihofu na maneno Malawi kuhusu ziwa…

Continue Reading....

Kinachodaiwa Kumuua Mangwea Hiki Hapa

Posted on: May 30, 2013 - jomushi
Kinachodaiwa Kumuua Mangwea Hiki Hapa

WAKATI mazishi ya mwanamuziki marehemu Albert Mangwea (28) maarufu kama `Ngwair’ yakitarajiwa kufanyika mjini Morogoro, maeneo ya Kihonda baada ya mwili kuwasili nchini, hospitali iliyomfanyia…

Continue Reading....

Dk Magufuli Asema Hana Ubia wa Urais na Samuel Sitta 2015

Posted on: May 30, 2013 - jomushi
Dk Magufuli Asema Hana Ubia wa Urais na Samuel Sitta 2015

SIKU chache baada ya Waziri wa Afrika Mashariki Samuel Sitta kumhusisha Dk John Magufuli na kundi la urais la mwaka 2015, Waziri huyo wa Ujenzi,…

Continue Reading....

TGNP Yaendesha Warsha Mbeya Juu ya Namna ya Kuanzisha na Kutumia Vituo vya Taaifa na Maarifa

Posted on: May 29, 2013 - jomushi
TGNP Yaendesha Warsha Mbeya Juu ya Namna ya Kuanzisha na Kutumia Vituo vya Taaifa na Maarifa

Na Pendo Omary, Mbeya Vijijini MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) umeendesha warsha ya siku mbili kuhusu namna ya kuanzisha na kutumia vituo vya taarifa na…

Continue Reading....

Pamoja Fashion Show Inakuletea

Posted on: May 29, 2013 - jomushi
Pamoja Fashion Show Inakuletea

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari