Mtanzania mwenzetu Ndg. Shabani Japhari, ambaye amefariki tarehe 1 mwezi huu, kwa kujinyonga mjini Saint Petersburg, nchini Urusi, anatarajiwa kuzikwa nchini humo Juma hili. Kwa…
Continue Reading....Year: 2013
Mjukuu wa Mandela Ashindwa Kesi ya Makaburi
MJUKUU wa Mzee Nelson Mandela, Mandla Mandela ameshindwa kesi iliyowasilishwa mahakamani dhidi yake kwa tuhuma za kufukua makaburi ya jamaa za familia yake katika mzozo…
Continue Reading....Jeshi Lampinduwa Rais wa Misri, Mohammed Morsi, Obama Apongeza
MVUTANO kati ya mamilioni ya waandamanaji na Rais wao, Mohammed Morsi sasa umefikia tamati baada ya Jeshi la nchi hiyo kuamua kumpinduwa rais Morsi kwa…
Continue Reading....Mstahiki Meya Silaa Atembelea Maonesho ya 37 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akiwasili katika viwanja vya maonyesho ya 37 ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba yanayoendelea jijini Dar ambapo alitembelea…
Continue Reading....Rais Kikwete Awashukuru Watanzania Walivyompokea Obama
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewashukuru wananchi kwa kushiriki kikamilifu na kufanikisha kwa kiwango cha juu kabisa matukio ya kitaifa…
Continue Reading....