HATIMAYE vita iliyokuwa ikipiganwa ndani ya familia ya Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, kuhusu mahali panapostahili kuwa eneo la kuzikia miili ya wanafamilia…
Continue Reading....Year: 2013
Siku 27 za Mandela Akipigania Uhai Wake
MAMBO yanayofanyika katika maeneo matatu ya Afrika Kusini, Hospitali ya Medclinic alikolazwa, katika makazi yake Mtaa wa Houghton, Barabara ya Laan 12, Johannesburg na makazi…
Continue Reading....FBI Waingia Arusha Kuchunguza Bomu la Soweto
ASKARI wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), tayari wapo Arusha kushirikiana na polisi ili kuchunguza tukio la mlipuko wa bomu la kutupa kwa mkono…
Continue Reading....Ndani ya Banda la Bunge la Tanzania Sabasaba, TTCL na Simu za Shs 5,000 Kama Bure…!
TTCL na Simu za Shilingi 5,000…!
Continue Reading....Rais wa Muda wa Misri Aapishwa
JAJI Mkuu wa Mahakama ya Juu zaidi ya kikatiba ameapishwa nchini Misri kuwa rais wa muda baada ya jeshi kumng’oa madarakani rais aliyechaguliwa na raia…
Continue Reading....Waziri Mkuu Pinda Ataka Zao la Pamba Lifufuliwe, Akemea Uongozi Wakimaslahi..!
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amecharuka na kuwakemea viongozi na watendaji wakuu kwenye sekta ya pamba ambao wanawawonya wakulima wadogo kwa kuwazuia kutumia…
Continue Reading....