Year: 2013
Mrembo Sylona Atwaa Taji la Redd’s Miss Temeke 2013
Na Mwandishi Wetu MREMBO Sylona Nyameyo jana usiku alifanikiwa kutwaa taji la Redd’s Miss Temeke lililofanyika katika Ukumbi wa TCC Changombe, jijini Dar es Salaam.…
Continue Reading....Tamasha la Filamu la Grand Malt Kufungwa Leo
Na Mwandishi Wetu, Mwanza LEO ni leo katika Uwanja wa Nyamagana jijini hapa, wakati kutakapofungwa rasmi Tamasha la Wazi la Filamu la Grand Malt Tanzania,…
Continue Reading....Kero ya Maonesho ya Biashara ya 37 ya Sabasaba 2013
HII huenda ikiwa ni miongoni mwa kero ya Maonesho ya 37 ya Biashara maarufu kama Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam. Wameweka utaratibu mzuri wa…
Continue Reading....Mwakilishi FAO Atembelea Banda la UN Maonesho ya 37 ya Sabasaba Dar
Mwakilishi wa Shirika la Chakula na Kilimo nchini (FAO) Diana Templeman (katikati) akipata maelezo ya kazi mbalimbali za Shirika hilo kutoka kwa Afisa Habari…
Continue Reading....Lowassa Achangia Machinga Mwanza Shs Milioni 20
WAZIRI Mkuu aliyejiuzuru, Edward Lowassa, ametoa Sh20 milioni kusaidia wafanyabiashara ndogondogo maarufu Machinga wa Mtaa wa Makoroboi, ili kuwajengea uwezo wa kukuza mitaji ya biashara…
Continue Reading....