Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 212

Year: 2013

Mwanafunzi Aliyekufa Maji IFM Kuzikwa Kesho Kinondoni Dar

Posted on: July 14, 2013July 15, 2013 - jomushi
Mwanafunzi Aliyekufa Maji IFM Kuzikwa Kesho Kinondoni Dar

Na Father Kidevu Blog MAZISHI ya Mwanafunzi na Rais wa Taasisi ya wanafunzi AIESEC- IFM, Wende Lwendo wa Mwaka wa Kwanza Uhandisi Kompyuta wa Chuo…

Continue Reading....

Wanajeshi Saba Watanzania Wauawa Dafur

Posted on: July 14, 2013 - jomushi
Wanajeshi Saba Watanzania Wauawa Dafur

WANAJESHI saba wa Tanzania, ambao ni miongoni mwa kikosi cha Umoja wa Mataifa, cha kulinda amani katika jimbo la Darfur nchini Sudan, wanadaiwa kuwa wameuawa.…

Continue Reading....

Uchaguzi Mdogo wa Madiwani Arusha Wageuka Vurugu Tupu

Posted on: July 14, 2013 - jomushi
Uchaguzi Mdogo wa Madiwani Arusha Wageuka Vurugu Tupu

UCHAGUZI mdogo katika kata nne za Jiji la Arusha unafanyika leo, huku Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ikiwapiga marufuku Mkuu wa Mkoa, Magessa Mulongo…

Continue Reading....

Mkutano Mkuu TFF Wapitisha Marekebisho ya Katiba, Taifa Stars Yalala Nyumbani..!

Posted on: July 13, 2013 - jomushi
Mkutano Mkuu TFF Wapitisha Marekebisho ya Katiba, Taifa Stars Yalala Nyumbani..!

MKUTANO Mkuu Maalumu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) uliofanyika leo (Julai 13 mwaka huu) umepitisha marekebisho ya Katiba yake, hivyo mchakato wa uchaguzi…

Continue Reading....

JK Awatunuku Kamisheni Maofisa wa JWTZ

Posted on: July 13, 2013 - jomushi
JK Awatunuku Kamisheni Maofisa wa JWTZ

Continue Reading....

Watu 2000 Wenye Ulemavu wa Kusikia Kunufaika na Vifaa vya Kuwawezesha Kusikia

Posted on: July 13, 2013 - jomushi
Watu 2000 Wenye Ulemavu wa Kusikia Kunufaika na Vifaa vya Kuwawezesha Kusikia

Na Lorietha Laurence-MAELEZO, Dar es Salaam ZAIDI ya wakazi 2000 wa Jiji la Dar es Salaam wenye matatizo ya kusikia wanatarajiwa kupata huduma ya vifaa vitakavyowasaidia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari