Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 205

Year: 2013

Umoja wa Mataifa Kupeleka Jeshi la Mapambano Congo

Posted on: July 19, 2013 - jomushi
Umoja wa Mataifa Kupeleka Jeshi la Mapambano Congo

UMOJA wa mataifa umesema upo tayari kupeleka jeshi katika uwanja wa mapambano huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kukabiliana na waasi. Hatua hiyo…

Continue Reading....

Dk. Gharib Bilal Aomba Wawekezaji Kwenda Tabora

Posted on: July 19, 2013 - jomushi
Dk. Gharib Bilal Aomba Wawekezaji Kwenda Tabora

Na Jennifer Chamila na Magreth Kinabo – Maelezo MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal amewataka wawekezaji wa ndani na nje…

Continue Reading....

Dk. Fenella Mukangara Awataka Vijana Kujiunga na SACCOS

Posted on: July 19, 2013 - jomushi
Dk. Fenella Mukangara Awataka Vijana Kujiunga na SACCOS

Na Benedict Liwenga – MAELEZO, Dar es Salaam VIJANA nchini wametakiwa kujiunga na vikundi vya ujasiriamali na Vyama vya kuweka na kukopa (SACCOS) kama njia…

Continue Reading....

Deogratias Lyatto Atoa Shukrani kwa Wadau wa Soka

Posted on: July 19, 2013 - jomushi
Deogratias Lyatto Atoa Shukrani kwa Wadau wa Soka

MAELEZO YA SHUKURANI YA MWENYEKITI ALIYEMALIZA MUDA WAKE WA KAMATI YA UCHAGUZI YA TFF – KWA VIONGOZI NA WADAU WA SOKA NCHINI   1. Kama wote…

Continue Reading....

Mama Salma Awataka Wanawake Kutobaguana

Posted on: July 19, 2013 - jomushi
Mama Salma Awataka Wanawake Kutobaguana

Na Anna Nkinda – Maelezo MKE wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka wanawake wa dini zote nchini kutokubaguana kutokana na itikadi zao za vyama vya…

Continue Reading....

Rais Kikwete Akutana na Profesa Lipumba

Posted on: July 19, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Akutana na Profesa Lipumba

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Julai 18, 2013, alikutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi – CUF,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari