Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 197

Year: 2013

STARS Karata ya Mwisho kwa Cranes

Posted on: July 25, 2013 - jomushi
STARS Karata ya Mwisho kwa Cranes

TAIFA STARS imewasili salama hapa Kampala tayari kwa mechi ya marudiano ya mchujo dhidi ya Uganda (The Cranes) kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Tatu…

Continue Reading....

Freeman Mbowe Aivimbia Polisi

Posted on: July 25, 2013July 25, 2013 - jomushi
Freeman Mbowe Aivimbia Polisi

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe jana alihojiwa tena na Jeshi la Polisi, lakini akaendelea na msimamo wake kwa kugoma kuwasilisha…

Continue Reading....

Benki ya Dunia Yaipa Changamoto Afrika Kuondoa Umasikini

Posted on: July 25, 2013 - jomushi
Benki ya Dunia Yaipa Changamoto Afrika Kuondoa Umasikini

BENKI ya Dunia imetoa changamoto kwa nchi za Afrika kuhimiza maendeleo endelevu ya ardhi ili kupunguza umaskini na kujiletea maendeleo. Ripoti ya Benki hiyo iliyotolewa…

Continue Reading....

Msondo Ngoma Waingia Studio Kutoa Mpya

Posted on: July 25, 2013 - jomushi
Msondo Ngoma Waingia Studio Kutoa Mpya

BENDI Kongwe ya Muziki wa dansi nchini Tanzania ya Msondo Ngoma imeingia Studio kurekodi nyimbo zake mpya zitakazokuwa katika album moja. Akizungumza na waandishi wa…

Continue Reading....

Dereva wa Pikipiki Rombo Afariki Katika Ajali

Posted on: July 25, 2013July 25, 2013 - jomushi
Dereva wa Pikipiki Rombo Afariki Katika Ajali

Yohane Gervas, Rombo MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Siprian Kiwango, mwenye umri kati ya miaka 60-70 mkazi wa Shimbi amefariki dunia papo hapo baada…

Continue Reading....

Bondia Omari Kimweri Atamba Kushinda Pambano Lake

Posted on: July 25, 2013 - jomushi
Bondia Omari Kimweri Atamba Kushinda Pambano Lake

BONDIA Mtanzania, Omari Kimweri ‘Lion Boy’ anaechezea uzito wa light flyweight anaefanya shughuli zake nchini Australia anatarajia kupanda ulingoni mwishoni mwa wiki hii kwa ajili ya mpambano…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari