Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 182

Year: 2013

CCM Yasema Inaimani na Tume ya Mabadiliko ya Katiba

Posted on: August 7, 2013 - jomushi
CCM Yasema Inaimani na Tume ya Mabadiliko ya Katiba

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema bado kina imani na Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, katika mchakato unaoendelea wa kupata katiba mpya. Imesema licha ya…

Continue Reading....

Wanawake Watakiwa Kuishi Maisha ya Upendo

Posted on: August 7, 2013 - jomushi
Wanawake Watakiwa Kuishi Maisha ya Upendo

Na Anna Nkinda – Maelezo WANAWAKE nchini wametakiwa kuishi maisha ya upendo, umoja na mshikamano bila ya kuangalia itikadi zao za dini na vyama vya…

Continue Reading....

Kongamano la Vijana na Rasilimali za Taifa Lafanyika Dar

Posted on: August 6, 2013 - jomushi
Kongamano la Vijana na Rasilimali za Taifa Lafanyika Dar

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhomgo akitoa mada kuhusu rasilimali ya madini, wakati kwenye kongamano la vijana na rasilimali za taifa, Ubungo jijini…

Continue Reading....

Si Kila Mabadiliko Yana Umuhimu Katika Maisha ya Mwanadamu – Nape Nnauye

Posted on: August 6, 2013 - jomushi
Si Kila Mabadiliko Yana Umuhimu Katika Maisha ya Mwanadamu – Nape Nnauye

  KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye amesema japokuwa mabadiliko ni muhimu kwa maisha ya binadamu lakini lazima kila yanapohitajika yafanywe kwa…

Continue Reading....

Tsvangirai Kufungua Kesi Kupinga Matokeo ya Uchaguzi

Posted on: August 6, 2013 - jomushi
Tsvangirai Kufungua Kesi Kupinga Matokeo ya Uchaguzi

SIKU moja baada ya Rais Robert Mugabe na Zanu PF kutangazwa kushinda Uchaguzi Mkuu nchini Zimbabwe, baadhi ya wafuasi wa upinzani kutoka chama cha MDC…

Continue Reading....

Rais Kikwete Amteuwa Jaji Mutungi Kushika Nafasi ya John Tendwa

Posted on: August 5, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Amteuwa Jaji Mutungi Kushika Nafasi ya John Tendwa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Jaji Francis S. K. Mutungi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa. Taarifa iliyotolewa Dar…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari