Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 151

Year: 2013

Mzee Kingunge Asiturudishe Nyuma Kwenye Hoja ya Uraia Pacha!

Posted on: September 1, 2013September 1, 2013 - Rungwe Jr.
Mzee Kingunge Asiturudishe Nyuma Kwenye Hoja ya Uraia Pacha!

Mzee Kingunge Ngombare Mwiru Babu yetu mzee Kingunge Ngombare Mwiru amenukuliwa kwenye vyombo vya habari Leo akipinga hoja ya Tanzania kuruhusu raia wake kuwa na…

Continue Reading....

Bastola Nje Nje, Zauzwa Mitaani Nchini Tanzania

Posted on: September 1, 2013 - jomushi
Bastola Nje Nje, Zauzwa Mitaani Nchini Tanzania

KUKITHIRI kwa rushwa miongoni mwa baadhi ya maofisa wa Jeshi la Polisi nchini, kumesababisha silaha ndogondogo hususan bastola kumilikiwa na watu wasio na sifa nchini.…

Continue Reading....

Rais Obama Aomba Bunge Kuidhinisha Vita, Mandela Atoka Hospitali Akiwa Mahututi

Posted on: September 1, 2013 - jomushi
Rais Obama Aomba Bunge Kuidhinisha Vita, Mandela Atoka Hospitali Akiwa Mahututi

HAIKUSADIKIKA kuwa Marekani itachukua hatua za haraka za kijeshi dhidi ya Syria, baada ya Rais Barack Obama wa nchi hiyo kuliomba bunge lake kuidhinisha shambulio.…

Continue Reading....

Serikali Kutenga Bilioni 30 kwa Miradi ya Vijana

Posted on: September 1, 2013 - jomushi
Serikali Kutenga Bilioni 30 kwa Miradi ya Vijana

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imelenga kupata sh. bilioni 30/- ili zitumike kuendeleza miradi ya vijana kwa nchi nzima kwa shughuli za uzalishaji.…

Continue Reading....

Hawa Ndio Warembo wa Redds Miss Tanzania 2013

Posted on: September 1, 2013 - jomushi
Hawa Ndio Warembo wa Redds Miss Tanzania 2013

WASHIRIKI wa shindano la Redd’s Miss Tanzania leo watapata fursa ya kumjua mrembo wa kwanza kuingia katika hatua ya Nusu fainali ya Shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013…

Continue Reading....

Ibrahim Kamwe Ajivua Ukatibu Mkuu TPBO

Posted on: September 1, 2013 - jomushi
Ibrahim Kamwe Ajivua Ukatibu Mkuu TPBO

KATIBU Mkuu wa ‘Tanzania Professional Boxing Organisation’ (TPBO), Ibrahim Kamwe amejitoa  katika uongozi wa chama hicho cha ngumi kama kiongozi. Akizungumzia hatua hiyo Kamwe alisema…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari