Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 131

Year: 2013

Serikali ya Uswisi Yaipa Tanzania bilioni 10.3 Kupambana na Malaria

Posted on: September 16, 2013 - jomushi
Serikali ya Uswisi Yaipa Tanzania bilioni 10.3 Kupambana na Malaria

Na Eleuteri Mangi – Maelezo SERIKALI ya Tanzania na Uswisi zimetiliana mkataba wa makubaliano wa kuisaidia mpango wa taifa wa kupambana na malaria nchini (NMCP)…

Continue Reading....

CHAKUA Wataka Mfumo wa Tiketi za Mtandao

Posted on: September 16, 2013 - jomushi
CHAKUA Wataka Mfumo wa Tiketi za Mtandao

Na Magreth Kinabo- Maelezo CHAMA cha kutetea abiria Tanzania (CHAKUA) kimezishauri kampuni za usafirishaji zianzishe mfumo wa kukata tiketi kwa njia ya mtandao ili kuweza…

Continue Reading....

Waziri Lukuvi kuanza ziara Mikoa ya Katavi, Rukwa na Mbeya

Posted on: September 16, 2013 - jomushi
Waziri Lukuvi kuanza ziara Mikoa ya Katavi, Rukwa na Mbeya

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge), William V. Lukuvi (MB) anatarajia kuanza ziara yake rasmi katika Mikoa ya Katavi, Rukwa…

Continue Reading....

Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu

Posted on: September 16, 2013 - jomushi
Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu

ATAKA VIONGOZI WA CHAMA KUFANYA KAZI KWA KUJITOLEA, AWAAGIZA VIONGOZI WA CHAMA KUWA KARIBU NA MABALOZI WA NYUMBA KUMI  Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa mkono…

Continue Reading....

Rais Kikwete Ziarani Marekani na Canada

Posted on: September 16, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Ziarani Marekani na Canada

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini Septemba 15, 2013, kwenda Marekani na Canada kwa ziara za kikazi ambako miongoni…

Continue Reading....

Semina ya Kamata Fursa Twendzetu Ndani ya Morogoro

Posted on: September 16, 2013 - jomushi
Semina ya Kamata Fursa Twendzetu Ndani ya Morogoro

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mwansiti Almasi,akifafanua namna anavyonufaika na huduma za NSSF,mara tu walipojiunga kupitia kundi lao la Lekadutigite,ndani ya semina ya fursa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari