Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 120

Year: 2013

Hakuna Uporaji wa Ardhi ya Wakulima Unaofanywa na Serikali – Kikwete

Posted on: September 24, 2013September 24, 2013 - jomushi
Hakuna Uporaji wa Ardhi ya Wakulima Unaofanywa na Serikali – Kikwete

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa hakuna uporaji wowote wa ardhi unaofanywa na Serikali yake dhidi ya ardhi…

Continue Reading....

Vyombo vya Usalama Kenya Vyaiokoa Wastgate, Wabunge Waogopa Kulipuliwa..!

Posted on: September 24, 2013 - jomushi
Vyombo vya Usalama Kenya Vyaiokoa Wastgate, Wabunge Waogopa Kulipuliwa..!

VYOMBO vya ulinzi na usalama nchini Kenya vimefanikiwa kuokoa Jengo la Maduka ya Kisasa la Westgate lililovamiwa na wanaodhaniwa kuwa ni wanamgambo wa kikundi cha…

Continue Reading....

Waandishi na Watangazaji wa Uvinza FM Redio Wanolewa

Posted on: September 24, 2013 - jomushi
Waandishi na Watangazaji wa Uvinza FM Redio Wanolewa

Mkurugenzi wa Uvinza Fm Ayubu Kalufya akitambulisha meza kuu kwa wageni waalikwa wakati wa hafla ya kuzindua mradi wa UNESCO-UNDP wa kuhamasisha Amani katika mchakato wa kukuza Demokrasia…

Continue Reading....

Profesa Mwandosya Aitabiria Mema Tanzania

Posted on: September 24, 2013 - jomushi
Profesa Mwandosya Aitabiria Mema Tanzania

Na Magreth Kinabo – Maelezo WAZIRI wa nchi Ofisi ya Rais (Kazi maalumu), Profesa Mark Mwandosya amesemwa Tanzania itafikia maendeleo ya hali ya juu ifikapo…

Continue Reading....

Airtel Raising Stars Wasichana Kupongezwa, Twiga Stars Kucheza na Zambia

Posted on: September 24, 2013September 24, 2013 - jomushi
Airtel Raising Stars Wasichana Kupongezwa, Twiga Stars Kucheza na Zambia

TIMU ya mpira wa miguu ya wasichana ya Airtel Raising Stars (ARS) ya Tanzania imeandaliwa hafla ya kuipongeza kwa kunyakua ubingwa katika mashindano ya Afrika…

Continue Reading....

Rais Obama Aipongeza Tanzania, Amwita Rais Kikwete “kaka na rafiki”

Posted on: September 24, 2013 - jomushi
Rais Obama Aipongeza Tanzania, Amwita Rais Kikwete “kaka na rafiki”

RAIS wa Marekani Barack Obama ametoa pongezi na sifa kwa Tanzania kwa kuwa miongoni mwa nchi chache duniani ambazo zimetia saini mkataba wa Ushirikiano wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari