Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 114

Year: 2013

VIDEO: WATOTO WAOANA HUKO DODOMA!

Posted on: October 2, 2013October 2, 2013 - admin
VIDEO: WATOTO WAOANA HUKO DODOMA!

Hii imetokea huko Mkoani Dodoma ambao watoto walifungishwa ndoa, huku familia zao zikifurahi na kula pilau. Unaweza usiamini, lakini kipindi cha Wanawake Live kilishuhudia LIVE…

Continue Reading....

Malozi wa Uholanzi na China Tanzania Wakutana na Dk Shein

Posted on: October 1, 2013 - jomushi
Malozi wa Uholanzi na China Tanzania Wakutana na Dk Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Jaap Frederiks, alipofika jana Ikulu…

Continue Reading....

Mechi za Yanga na Simba Zaingiza Mil. 182/-

Posted on: October 1, 2013 - jomushi
Mechi za Yanga na Simba Zaingiza Mil. 182/-

MECHI za Yanga na Simba za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zilizochezwa wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam zimeingiza jumla ya sh. 182,103,000. Yanga katika…

Continue Reading....

Zitto Kabwe Kupinga Sheria ya Magazeti ya Mwaka 1976 Bungeni

Posted on: October 1, 2013October 1, 2013 - jomushi
Zitto Kabwe Kupinga Sheria ya Magazeti ya Mwaka 1976 Bungeni

*Ni ile inayovikandamizwa Vyombo vya Habari Kila Uchao MBUNGE wa Kigoma Kaskazini Kupitia CHADEMA, Zitto Kabwe anatarajia kuwasilisha bungeni muswada binafsi kupinga sheria ya magazeti…

Continue Reading....

Matapeli Wengine wa Mtandao Waibuka…!

Posted on: October 1, 2013 - jomushi
Matapeli Wengine wa Mtandao Waibuka…!

NIMEONA ninawajibika kuwataarifu kuhusu kuwepo kwa vijana wa Kitanzania ambao wamejiingiza katika mtandao wa kitapeli ambapo wamekuwa wanatangaza kuwa wanatoa mikopo kupitia Kampuni wanayoiita SOCIAL…

Continue Reading....

Rais Jakaya Kikwete Arejea Nchini Akitokea Marekani na Canada

Posted on: September 30, 2013September 30, 2013 - Rungwe Jr.
Rais Jakaya Kikwete Arejea Nchini Akitokea Marekani na Canada

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari