Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • June
  • Page 30

Month: June 2013

Makocha Sita wa Ireland Watua Kuipiga Msasa Kitayosce FC

Posted on: June 11, 2013June 11, 2013 - jomushi
Makocha Sita wa Ireland Watua Kuipiga Msasa Kitayosce FC

UJUMBE kutoka Chuo cha Makocha nchini Ireland umewasili jana, katika klabu ya Kitayosce ya Mjini Moshi kwa ajili ya kushirikiana na kupeana uzoefu. Ujumbe huo…

Continue Reading....

Dhamana ya Wilfred Rwakatare, Ludovick Rweikiza Sasa Huru

Posted on: June 11, 2013June 12, 2013 - jomushi
Dhamana ya Wilfred Rwakatare, Ludovick Rweikiza Sasa Huru

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es Salaam, imefungua dhamana ya Mkurugenzi wa Kitengo cha Ulinzi na Usalama cha Chama cha Demokrasia na…

Continue Reading....

Wasanii Wanapoamua Kuuza Kazi Zao Wenyewe Mitaani…!

Posted on: June 11, 2013June 11, 2013 - jomushi
Wasanii Wanapoamua Kuuza Kazi Zao Wenyewe Mitaani…!

Wasanii Wanapoamua Kuuza Kazi Zao Wenyewe Mitaani…! WASANII wanapoamua kuuza kazi zao wenyewe mtaani badala ya kuingia mikataba na ‘madalali’ wengine ujue kuna kitu hakija…

Continue Reading....

Marekani Yataja Sababu Nne za Obama Kuja Tanzania

Posted on: June 11, 2013 - jomushi
Marekani Yataja Sababu Nne za Obama Kuja Tanzania

MAREKANI imetaja sababu nne ambazo zimemfanya Rais Barrack Obama kuijumuisha Tanzania katika ziara yake ya Bara la Afrika. Rais Obama amepanga kulitembelea bara la Afrika…

Continue Reading....

‘Madeni Yameielemea Serikali’

Posted on: June 11, 2013 - jomushi
‘Madeni Yameielemea Serikali’

ZIKIWA zimesalia siku mbili kabla ya Bajeti Kuu ya Serikali kusomwa, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti na Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew…

Continue Reading....

Winnie Mandela Amtembelea Mandela Hospitalini

Posted on: June 11, 2013 - jomushi
Winnie Mandela Amtembelea Mandela Hospitalini

MKE wa zamani wa Nelson Mandela, Winnie amewasili katika hospitali nchini Afrika Kusini, ambako inaaminiwa rais huyo mstaafu amelazwa akipata matibabu ya ugonjwa wa homa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari