Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • June
  • Page 28

Month: June 2013

CCM Wapata Ugeni Kutoka Chama Cha Ukombozi Nchini Palestina

Posted on: June 12, 2013 - jomushi
CCM Wapata Ugeni Kutoka Chama Cha Ukombozi Nchini Palestina

Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, akimlaki Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa Palestina (PLO), Tayaseer Khalid…

Continue Reading....

Bondia Patrick kuzichapa na Class

Posted on: June 12, 2013 - jomushi
Bondia Patrick kuzichapa na Class

BONDIA Patrick Anthony Kavako ‘Baunsa’ wa Morogoro ametamba kumchapa Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ wakati wa mpambano wao wa raundi nane utakaofanyika siku ya jumapili june…

Continue Reading....

Hali ya Mandela ni Mbaya Sana – Rais Zuma

Posted on: June 12, 2013 - jomushi
Hali ya Mandela ni Mbaya Sana – Rais Zuma

RAIS wa Afrika kusini Jacob Zuma, amesema kuwa nchi yote inazidi kumwombea Mzee Nelson Mandela ili apate afueni haraka. Rais huyo wa zamani amelazwa hospitalini…

Continue Reading....

CCM Wapinga Mfumo wa Serikali Tatu

Posted on: June 12, 2013 - jomushi
CCM Wapinga Mfumo wa Serikali Tatu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimepinga muundo wa Muungano wa Serikali tatu unaopendekezwa katika rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mwanzoni…

Continue Reading....

Waalgeria Kuchezesha Mechi ya Taifa Stars na Ivory Coast

Posted on: June 12, 2013 - jomushi
Waalgeria Kuchezesha Mechi ya Taifa Stars na Ivory Coast

SHIRIKISHO la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeteua waamuzi kutoka Algeria kuchezesha mechi kati ya Taifa Stars na Ivory Coast itakayofanyika Jumapili saa 9…

Continue Reading....

Serikali Yahimiza Umezaji wa Dawa za Mabusha na Matende

Posted on: June 12, 2013 - jomushi
Serikali Yahimiza Umezaji wa Dawa za Mabusha na Matende

Hussein Makame – MAELEZO SERIKALI imewaomba wananchi wa mikoa ya Dar es Salaam na Mwanza wenye umri kuanzia miaka mitano na kuendelea kujitokeza kwa wingi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari