Month: May 2013
Mazoezi Kumsaka Malkia wa Tanga Yaanza
Na Mwandishi Wetu MAZOEZI kwa ajili ya kujiandaa na shindano la kumsaka malkia wa Mkoa wa Tanga mwaka huu “Redd’s Miss Tanga 2013” yanatarajia kuanza…
Continue Reading....Tundu Lissu Amlipua Dk Migiro Bungeni
KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni, imesema ina ushahidi unaoonyesha njama za kuhakikisha kuwa ni wana CCM pekee, ndiyo watakaochaguliwa kuwa wajumbe wa Mabaraza ya Katiba…
Continue Reading....Serikali Yachukua Uamuzi Mgumu, Yafuta Matokeo Kidato cha Nne
SERIKALI imechukua uamuzi mgumu na kuamua kuwafariji wanafunzi waliofeli mitihani ya kuhitimu kidato cha nne mwaka 2012 baada ya kufuta matokeo hayo na kuamua yaandaliwe…
Continue Reading....Mbowe Asema Majangili Sasa Wanasaga Meno ya Tembo
MJADALA wa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii ilizidi kulitikisa Bunge baada ya jana Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kusema kwamba…
Continue Reading....