WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amemwagiza Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid awasiliane na Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za…
Continue Reading....Month: May 2013
Siku ya Wakunga Duniani Mikono ya Kwanza Kukupokea Duniani
TANZANIA inawahitaji wakunga sasa, kuliko wakati mwingine wowote ule Akinamama 5,000 na watoto wachanga 32,000 wangeweza kuokolewa ifikapo 2015 Mama Ye! leo, Mei 5, inatoa…
Continue Reading....Breaking News; Kanisa Katoliki Lalipuliwa Arusha
KANISA Katoliki Parokia Teule ya Mt. Joseph Mfanyakazi Olasiti la jijini Arusha limelipuliwa na mlipuko unaodhaniwa kuwa ni bomu la kurushwa. Kamanda wa Polisi Mkoa…
Continue Reading....Ndege za Israel Zafanya Mashambulizi Syria
ISRAEL imefanya shambulio la anga dhidi ya shehena ya makombora ya Syria yaliokuwa yakisafirishwa kupelekwa kwa kundi la wapiganaji wa Hezbollah lilioko katika nchi jirani…
Continue Reading....Waandishi wa Habari Wadai Uhuru wa Habari Arusha
Mwenyekiti wa UN Tanzania Human Rights Group Bw. Tobias Rahm akitoa mada kuhusu haki za binadamu jinsia na mitazamo ya Mataifa Mbalimbali ulimwenguni kuhusu Uhuru…
Continue Reading....