WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali ina kazi kubwa ya kushughulika na kundi dogo inalojihusisha na lugha za uchochezi wa kidini ambao unachangia kudhoofisha amani…
Continue Reading....Month: May 2013
Misamaha Itolewe kwa Wahusika – Serikali
Na Magreth Kinabo – Maelezo, Dodoma SERIKALI imewaagiza watendaji na wananchi kupitia kamati zao za afya kuhakikisha misamaha inatolewa kwa wote wanaostahili. Aidha imesema…
Continue Reading....Mama Salma Kikwete Awataka Wazazi Kutobagua Watoto
Na Anna Nkinda – Maelezo WAZAZI nchini wametakiwa kuwafundisha watoto wao kazi zote za nyumbani bila ya kuwabagua kwamba hawa ni watoto wa kike na hawa…
Continue Reading....Wananchi Kusafiri Mtwara Hadi Bukoba kwa Lami, Huduma Bora kwa Wafungwa
Na Immaculate Makilika- Dodoma WANANCHI kusafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwa barabara ya lami. Hayo yamesemwa bungeni mjini Dodoma wakati Waziri wa Ujenzi John Magufuli alipokuwa akijibu swali la…
Continue Reading....Kagera Sugar, Ruvu Shooting Kuumana Ligi Kuu Bara, Simba Mgambo Wavuna Mil 16
KAGERA Sugar inaikaribisha Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo pekee wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) utakaofanyika Mei 11 mwaka huu kwenye Uwanja wa Katiba…
Continue Reading....