Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • May
  • Page 29

Month: May 2013

Vijana Watakiwa Kufanya Kazi kwa Kutumia Fursa Zilizopo

Posted on: May 13, 2013 - jomushi
Vijana Watakiwa Kufanya Kazi kwa Kutumia Fursa Zilizopo

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amehimiza vijana wa Tanzania kuwa na uthubutu wa kujaribu kuzifanyia kazi fursa zilizopo katika sekta tofauti kama vile ujasiriamali, kilimo,…

Continue Reading....

Polisi Yabaini Bomu Lililorushwa Kanisani Arusha ni la Kiwandani

Posted on: May 12, 2013 - jomushi
Polisi Yabaini Bomu Lililorushwa Kanisani Arusha ni la Kiwandani

SIKU saba baada ya tukio la mlipuko wa bomu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi,Olasiti mkoani Arusha, Jeshi la Polisi limesema kuwa mlipuko huo…

Continue Reading....

Kifaa cha Chanjo ya Ukimwi Chagundulika Marekani

Posted on: May 12, 2013 - jomushi
Kifaa cha Chanjo ya Ukimwi Chagundulika Marekani

WANASAYANSI nchini Marekani wamebaini kifaa kipya kitakachoharakisha upatikanaji wa chanjo ya virusi vya Ukimwi (VVU). Taarifa kwa Mwananchi Jumapili iliyotolewa Alhamisi wiki hii na Taasisi…

Continue Reading....

Camera ya dev.kisakuzi.com Mjini Moshi, Kilimanjaro

Posted on: May 12, 2013May 12, 2013 - jomushi
Camera ya dev.kisakuzi.com Mjini Moshi, Kilimanjaro

Continue Reading....

Rais Kikwete Arejea Tanzania Kutokea Afrika Kusini

Posted on: May 11, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Arejea Tanzania Kutokea Afrika Kusini

Continue Reading....

Clouds Media Group Yazindua Msimu Mpya kwa Kishindo Dodoma, Yafanya Semina Kupinga Uharamia…!

Posted on: May 11, 2013 - jomushi
Clouds Media Group Yazindua Msimu Mpya kwa Kishindo Dodoma, Yafanya Semina Kupinga Uharamia…!

  Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mh. Zitto Kabwe ambae pia ni mdau kubwa wa Muziki hapa chnini,pia alikuwa ni mmoja wa wazungumzaji kwenye…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari