Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • May
  • Page 25

Month: May 2013

Hali ya Hatari Yatangazwa Nchini Nigeria

Posted on: May 16, 2013 - jomushi
Hali ya Hatari Yatangazwa Nchini Nigeria

MSEMAJI wa Rais wa Nigeria, Davip Okupi amesema rais Good Luck Johnthan ametangaza hali ya hatari katika majimbo matatu kaskazini mwa nchi. Akifafanua zaidi ameongeza…

Continue Reading....

Timu Tano Afrika Mashariki Zatinga Nusu Fainali Pan-African Guinness Football Challenge

Posted on: May 16, 2013 - jomushi
Timu Tano Afrika Mashariki Zatinga Nusu Fainali Pan-African Guinness Football Challenge

JANA usiku (Mai 15, 2013) kupitia televisheni za ITV na Clouds TV washindi kutoka Ghana katika GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE walisheherekea ushindi wao wa kufuzu nusu…

Continue Reading....

Shughuli za mpakani zaathiri elimu ya sekondari Rombo

Posted on: May 16, 2013 - jomushi
Shughuli za mpakani zaathiri elimu ya sekondari Rombo

Na Joachim Mushi, Rombo SHUGHULI za biashara zinazoendeshwa maeneo kadhaa ya mpakani mwa Tanzania na Kenya katika Wilaya ya Rombo zimeathiri maendeleo ya elimu hasa…

Continue Reading....

Tume ya Kidato cha IV Yatoa Mapendekezo 130

Posted on: May 15, 2013May 15, 2013 - jomushi
Tume ya Kidato cha IV Yatoa Mapendekezo 130

TUME ya Kuchunguza Kushuka kwa Kiwango cha Ufaulu wa Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne mwaka 2012, imetoa mapendekezo 130, mojawapo ikitaka kupitiwa upya…

Continue Reading....

Prof. Lipumba Asema Kuna Njama za Kumwongezea JK Muda

Posted on: May 15, 2013 - jomushi
Prof. Lipumba Asema Kuna Njama za Kumwongezea JK Muda

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba amedai kuwa amenasa taarifa za siri za kuwapo kwa mipango ya kuongeza muda wa Serikali ya…

Continue Reading....

Mkurugenzi ILO Akitembelea Kikundi cha Waathirika wa Ukimwi cha Chimbuko

Posted on: May 15, 2013 - jomushi
Mkurugenzi ILO Akitembelea Kikundi cha Waathirika wa Ukimwi cha Chimbuko

Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Kanda ya Afrika Mashariki nchini Tanzania (ILO)  Bw. Alexio Musindo akikagua kinywaji aina ya ‘paw paw wine’ na mkononi akiwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari