MKE WA WAZIRI MKUU Mama Tunu Pinda amesema Watanzania wote kwa pamoja wana kila sababu ya kujinyenyekeza mbele za Mungu na kuendelea kuomba ili pasitokee…
Continue Reading....Month: May 2013
Fainali Miss Utalii Mkwakwani
HATIMAYE fainali za Taifa za Miss Utalii Tanzania mwaka huu,zinafanyika mkoani Tanga siku ya Jumapili Tarehe 19-5-2013katika uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga. Fainali hizo za…
Continue Reading....Pazia Ligi Kuu Vodacom Kufungwa Mei 18
LIGI KUU ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara msimu huu (2012/2013) inafikia tamati kesho (Mei 18 mwaka huu) kwa timu zote 14 kupambana…
Continue Reading....Mapambano Dhidi ya Boko Haram Mipakani Nchini Nigeria
SERIKALI ya Nigeria imetuma kikosi kikubwa cha wanajeshi pamoja na silaha kukabiliana na wapiganaji wa kikundi cha Boko Haram katika majimbo matatu ya Kaskazini Mashariki…
Continue Reading....Mtihani Mgumu kwa Rais Kikwete…!
KUNA kila dalili kwamba wabunge wa CCM wameanza kupanga majeshi kwa lengo la ‘kumalizana’ watakapokutana kwa siku mbili mfululizo na mwenyekiti wa chama hicho tawala,…
Continue Reading....