Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • May
  • Page 16

Month: May 2013

Watanzania Nusu Fainali Wiki Hii Tayari Kuwania Ubingwa Pan–African Guinness Football Challenge

Posted on: May 22, 2013 - jomushi
Watanzania Nusu Fainali Wiki Hii Tayari Kuwania Ubingwa Pan–African Guinness Football Challenge

JUMATANO iliyopita kupitia televisheni za ITV na Clouds TV timu ya Ghana iliyoshinda katika kipindi cha Tisa cha GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE walifurahia kupata nafasi katika…

Continue Reading....

Happi Bethidai George Kivaria wa NMB

Posted on: May 22, 2013 - jomushi
Happi Bethidai George Kivaria wa NMB

 Mtoto aliyezaliwa George Kivaria Akiwa amepigwa na butwaa baada ya kupewa suprisezzzzz na baadhi ya wafanyakazi wa idara yake wakati alipokumbushwa siku yake ya kuzaliwa…

Continue Reading....

Hadija Said Kifaa Kipya cha Miss Utalii Tanzania

Posted on: May 21, 2013 - jomushi
Hadija Said Kifaa Kipya cha Miss Utalii Tanzania

 MSHINDI WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 HADIJA SAID MISS UTALII MOROGORO AKISHWA TAJI LA USHINDI NA MGENI RASMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA…

Continue Reading....

Obama Kuzuru Afrika, Mashambulio Iraq 95 Wauwawa

Posted on: May 21, 2013 - jomushi
Obama Kuzuru Afrika, Mashambulio Iraq 95 Wauwawa

RAIS wa Marekani anatarajiwa kuzuru Bara la Afrika mwezi ujao ambako atazuru mataifa ya Senegal, Afrika kusini na Tanzania. Katika taarifa msemaji wa Ikulu ya…

Continue Reading....

Polisi Uganda Wavamia Ofisi za Vyombo vya Habari Kusaka Kielelezo

Posted on: May 21, 2013 - jomushi
Polisi Uganda Wavamia Ofisi za Vyombo vya Habari Kusaka Kielelezo

POLISI nchini Ugandan wamevamia ofisi za magazeti kufuatia taarifa kwamba Rais Yeweri Museveni anamuandaa mwanawe wa kiume kumrithi urais. Taarifa zinasema vituo viwili vya Redio…

Continue Reading....

Msigwa Afikishwa Mahakamani Iringa kwa Uchozizi, Aachiwa kwa Dhamana…!

Posted on: May 21, 2013May 21, 2013 - jomushi
Msigwa Afikishwa Mahakamani Iringa kwa Uchozizi, Aachiwa kwa Dhamana…!

SAKATA la vurugu za machinga na Polisi mjini Iringa limechukua sura mpya baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kumfikisha mahakamani mbunge wa Jimbo la Iringa mjini mchungaji,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari