Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Majeshi ya…
Continue Reading....Month: April 2013
Wizara ya Mifugo na Uvuvi Wajivunia Mafanikio ya Ujasiriamali
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar WIZARA ya Mifugo na Uvuvi imesema kuwa mafanikio makubwa yamepatikana ndani ya uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la…
Continue Reading....Idara ya Habari Maelezo Yaonya Juu ya Utoaji Taarifa za Siri
JANA na leo, Serikali imeona kuzuka kwa tabia ya uvunjaji wa kanuni ya utunzaji wa siri za taarifa za mawasiliano binafsi ya watumiaji wa huduma…
Continue Reading....Wanaharakati Walalamikia Mchakato Upatikanaji Wajumbe Mabaraza ya Katiba
Na Mwandishi Wetu WASHIRIKI wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) wamejitokea na kulalamikia…
Continue Reading....Airtel, Nokia Wazindua Offer Kabambe ya Nokia Lumia 620
*Wateja kupata muda wa maongezi wa dakika 275 bure AIRTEL Tanzania Imeungana kwa Pamoja na Kampuni ya Nokia na kuzindua simu ya Nokia Lumia 620…
Continue Reading....