Month: April 2013
Mstahiki Meya Manispaa ya Ilala Akizindua Kambi ya Starkey
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akilakiwa na uongozi wa Starkey alipowasili katika shule ya Buguruni Viziwi kuzindua kambi ya Starkey…
Continue Reading....Vigogo Watatu Wizara ya Ardhi Wapandishwa Kizimbani
VIGOGO watatu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka manne, ikiwamo la matumizi…
Continue Reading....Pinda, Mbowe Ngoma Nzito Bungeni
MVUTANO kuhusiana na mchakato wa kupata Katiba Mpya unaozigonganisha Serikali na Chadema ulizidi kupamba moto bungeni jana wakati wa mjadala wa kuhitimisha hotuba ya bajeti…
Continue Reading....Kumbukumbu ya Miaka 5 ya Kifo cha Mzee Anthony Njeje
Ni miaka mitano sasa imepita tangu ulipo enda kwenye makao ya kudumu Baba yetu Mpendwa Machi 17, 2008 Marehemu Anthony Njeje.Hatupo nawe kimwili lakinii kiroho…
Continue Reading....Watatu Wauwawa, Milipuko ya Boston, Marekani, 140 Wajeruhiwa
HADI sasa watu watatu wameshakufa kutokana na mashambulio ya mabomu mawili yaliyolipuka wakati wa mbio ndefu za marathon katika Mji wa Boston nchini Marekani, Mabomu…
Continue Reading....