Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • February
  • Page 28

Month: February 2013

Ommy D Kupamba Miss Redds Tabora

Posted on: February 11, 2013 - jomushi
Ommy D Kupamba Miss Redds Tabora

Sarahy Paul mshindi wa mwaka jana 2012 Mashindano ya Miss Redds Tabora kukujia tena kwa sura pevu zaidi, hii ni baada ya kufanyika mashindano kama…

Continue Reading....

Wagombea Urais Kenya Kupambana Katika Mdahalo

Posted on: February 11, 2013 - jomushi
Wagombea Urais Kenya Kupambana Katika Mdahalo

WAGOMBEA urais nchini Kenya wanatarajia kuumana katika mdahalo utakaowakutanisha viongozi hao na kuoneshwa moja kwa moja kupitia runinga. Mdahalo huo ambao ni wa kwanza kabisa…

Continue Reading....

Leodger Tenga, Mark Fish Waunga Mkono Mapambano ya Malaria

Posted on: February 11, 2013February 11, 2013 - jomushi
Leodger Tenga, Mark Fish Waunga Mkono Mapambano ya Malaria

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Leodgar Tenga amesema Tanzania itatumia mashindano ya soka kwa wanawake na vijana kama sehemu mojawapo ya…

Continue Reading....

Mabondia Ramadhani na Njiku Wasaini Kukipiga Feb 14

Posted on: February 11, 2013 - jomushi
Mabondia Ramadhani na Njiku Wasaini Kukipiga Feb 14

Na Mwandishi Wetu MABONDIA Deo Njiku wa Morogoro na Omary Ramadhani wataingia uringoni Februari 14 katika Ukumbi wa Friends Corner Hotel Manzese kuwania Ubingwa wa…

Continue Reading....

Freddy Macha Atona Ki-‘Freedom’

Posted on: February 11, 2013 - jomushi
Freddy Macha Atona Ki-‘Freedom’

FREDDY Macha si jina geni kwa watanzania na wadau wasanaa popote pale duniani. Unapolitaja jina la Freddy Macha lazima utakugusia vipaji vya Mtanzania huyo mwenye…

Continue Reading....

Watu 100 Wauwawa Sudan Kusini Baada ya Kushambuliwa

Posted on: February 11, 2013 - jomushi
Watu 100 Wauwawa Sudan Kusini Baada ya Kushambuliwa

WAKUU wa Sudan Kusini wanasema watu zaidi ya 100 wameuwawa kwenye wizi wa mifugo. Taarifa zinasema watu wa kabila la Lou Nuer walishambuliwa Ijumaa katika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari