Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • February
  • Page 26

Month: February 2013

Rais Kikwete Ateuwa Mwenyekiti Tume ya Kurekebisha Sheria

Posted on: February 12, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Ateuwa Mwenyekiti Tume ya Kurekebisha Sheria

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Jaji Aloysius Kibuuka Mujulizi, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania. Taarifa iliyotolewa…

Continue Reading....

TFF Wawaalika Mashabiki Mpambano wa Simba na Azam

Posted on: February 12, 2013February 12, 2013 - jomushi
TFF Wawaalika Mashabiki Mpambano wa Simba na Azam

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linawaka washabiki wa mpira wa miguu kujitokeza kwa wingi wikiendi hii kuzishangilia timu za Azam na Simba zitakazocheza…

Continue Reading....

Mimi na Tanzania Yamtembelea Mjane wa Daudi Mwangosi

Posted on: February 12, 2013 - jomushi
Mimi na Tanzania Yamtembelea Mjane wa Daudi Mwangosi

Hoyce Temu akimpa mkono wa pole mke wa Marehemu Daudi Mwangosi alipoitembelea familia hiyo kuifariji. Mwanaharakati wa kijamii Hoyce Temu kupitia kipindi chake cha Mimi…

Continue Reading....

Kilimanjaro, Ngorongoro na Serengeti Vyanyakua Ushindi Maajabu Saba ya Dunia

Posted on: February 12, 2013 - jomushi
Kilimanjaro, Ngorongoro na Serengeti Vyanyakua Ushindi Maajabu Saba ya Dunia

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipiga makofi mara baada ya kumkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa TANAPA Bw. Allan Kijazi anayenyanyua juu tuzo ya Mbuga…

Continue Reading....

Papa Benedict XVI Atangaza Kujiuzulu

Posted on: February 12, 2013 - jomushi
Papa Benedict XVI Atangaza Kujiuzulu

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict XVI ametangaza kuachia madaraka ya kuongoza kanisa ifikapo mwishoni mwa mwezi huu, uamuzi ambao ni wa kwanza tangu…

Continue Reading....

Ni Msimu wa Valentine na Baileys ya Serengeti Breweries Ltd

Posted on: February 12, 2013 - jomushi
Ni Msimu wa Valentine na Baileys ya Serengeti Breweries Ltd

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari