Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • January
  • Page 32

Month: January 2013

Nusu ya Watu Hawajui Kutumia Kondomu

Posted on: January 11, 2013 - jomushi
Nusu ya Watu Hawajui Kutumia Kondomu

NUSU ya watu wanaotumia kondomu kwa ajili ya kujikinga na mimba ama magonjwa ya zinaa, hawajui namna ya kuitumia mipira hiyo, utafiti umeeleza. Utafiti huo…

Continue Reading....

Mapigano ya Kikabila Yaendelea Kenya

Posted on: January 11, 2013January 11, 2013 - jomushi
Mapigano ya Kikabila Yaendelea Kenya

WATU 11 wameuawa na wengine 15 kujeruhiswa mapema Alhamisi kwenye shambulio la kulipiza kisasi baina ya jamii mbili zinazohasimiana katika eneo la Tana River Delta.…

Continue Reading....

Taifa Stars Yawasili Salama Ethiopia, Kukipiga Leo

Posted on: January 11, 2013 - jomushi
Taifa Stars Yawasili Salama Ethiopia, Kukipiga Leo

TAIFA Stars imefika salama nchini Addis Ababa tayari kwa mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji Ethiopia inayotarajia kufanyika leo. Mechi inachezwa Januari 11 Addis Ababa…

Continue Reading....

DSTV Tanzania Yawatoa Hofu Wateja Wake Juu ya Mabadiliko ya Digitali

Posted on: January 11, 2013January 11, 2013 - jomushi
DSTV Tanzania Yawatoa Hofu Wateja Wake Juu ya Mabadiliko ya Digitali

Meneja Mahusiano wa Multichoice Tanzania Barbara Kambogi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi wa MultiChoice Africa kwa ukanda wa Afrika Mashariki,…

Continue Reading....

Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora Wapamba Moto

Posted on: January 11, 2013 - jomushi
Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora Wapamba Moto

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, leo, Januari 10, 2013, amekamilisha ziara yake yenye mafanikio makubwa katika Mkoa wa Tabora kwa…

Continue Reading....

Uzinduzi Kampeni ya Kilimo Kwanza kwa Vijana wa Kata Kwadelo Mkoani Dodoma

Posted on: January 11, 2013 - jomushi
Uzinduzi Kampeni ya Kilimo Kwanza kwa Vijana wa Kata Kwadelo Mkoani Dodoma

 Diwani Omary Kariati wa Kata ya Kwadelo, Kondoa mkoani Dodoma, akizungumza na wananchi wa Kata hiyo, baada ya kuwashili katika kata hiyo jana kuzindua Kampeni…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari