Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • January
  • Page 29

Month: January 2013

Saba Wafariki Baada ya Mabasi Kugongana Wilayani Bunda

Posted on: January 14, 2013 - jomushi
Saba Wafariki Baada ya Mabasi Kugongana Wilayani Bunda

WATU saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa kufuatia mabasi mawili kugongana uso kwa uso katika Kijiji cha Nyatwali Wilayani Bunda Mkoani Mara.…

Continue Reading....

Wagombea TFF Kuchukua Fomu Kwenye Tovuti, TFF Yaipongeza Azam FC

Posted on: January 14, 2013January 14, 2013 - jomushi
Wagombea TFF Kuchukua Fomu Kwenye Tovuti, TFF Yaipongeza Azam FC

KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inawaarifu wadau wote kuwa fomu za maombi ya uongozi wa TFF na Tanzania Premier…

Continue Reading....

Washiriki wa Guinness Football Challenge 2013 Waagwa Dar es Salaam

Posted on: January 14, 2013 - jomushi
Washiriki wa Guinness Football Challenge 2013 Waagwa Dar es Salaam

Baadhi ya wamiliki wa magazeti tando walioko jijini Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja walipokutana katika tafrija ya kuwaaga, ashiriki wa shindano la…

Continue Reading....

Mkurungezi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Atembelea Clouds FM

Posted on: January 14, 2013 - jomushi
Mkurungezi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Atembelea Clouds FM

  Baada ya ziara kutembelea vitengo mbalimbali vya kampuni hiyo, pia Steve Gannon alipata wasaa wa kukaa meza moja na uongozi wa juu wa kampuni…

Continue Reading....

Rais Kikwete Azindua Shule ya Kisasa Zanzibar

Posted on: January 14, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Azindua Shule ya Kisasa Zanzibar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Januari 12, 2013, amezindua shule mpya na ya kisasa kabisa ya Sekondari ya Mlimani-Matemwe, Mkoa wa…

Continue Reading....

Mubarak Ashinda Kesi ya Rufaa

Posted on: January 14, 2013January 15, 2013 - jomushi
Mubarak Ashinda Kesi ya Rufaa

RAIS wa zamani wa Misri, Hosni Mubarak, ameruhusiwa kufanyiwa kesi nyengine kwa makosa ya kutozuwia mauaji ya waandamanaji mamia kadha wakati wa ghasia zilizomuondoa madarakani.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari