Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 87

Year: 2012

Epiq Bongo Star Search 2012 ni Walter Chilambo

Posted on: November 10, 2012November 10, 2012 - jomushi
Epiq Bongo Star Search 2012 ni Walter Chilambo

MSHINDI wa Shindano la kumtafuta msanii mwenye kipaji cha muziki maarufu kama Epiq Bongo Star Search (EBSS) hatimaye amejulikana usiku huu ndani ya Ukumbi wa…

Continue Reading....

Uchaguzi TAREFA, TAFCA Kufanyika Desemba 22

Posted on: November 9, 2012 - jomushi
Uchaguzi TAREFA, TAFCA Kufanyika Desemba 22

UCHAGUZI wa viongozi wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Tabora (TAREFA) na Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania (TAFCA) sasa utafanyika…

Continue Reading....

Waasi Watungua Ndege ya Jeshi Sudan

Posted on: November 9, 2012November 9, 2012 - jomushi
Waasi Watungua Ndege ya Jeshi Sudan

WAASI katika Jimbo la Kordofan Kusini, nchini Sudan wamesema kuwa wametungua ndege ya kijeshi karibu na mpaka wake na Sudan Kusini. Msemaji wa kundi la…

Continue Reading....

Dk Mwakyembe Acharuka, Avunja Bodi ya Usimamizi wa Bandari

Posted on: November 9, 2012 - jomushi
Dk Mwakyembe Acharuka, Avunja Bodi ya Usimamizi wa Bandari

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameivunja Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), baada ya kufuta uteuzi wa wajumbe wote wa…

Continue Reading....

Rais Kikwete Akumbana na Mabango Uzinduzi wa Bomba la Gesi Dar

Posted on: November 9, 2012 - jomushi
Rais Kikwete Akumbana na Mabango Uzinduzi wa Bomba la Gesi Dar

RAIS Jakaya Kikwete amejikuta akipokewa na mabango wakati akizindua mradi mkubwa wa bomba la gesi asilia linalotoka Mtwara hadi eneo la Kinyerezi jijini Dar es…

Continue Reading....

Mechi Tano Ligi Kuu Bara Zabadilishwa Kupisha Mchezo wa Taifa Stars

Posted on: November 9, 2012 - jomushi
Mechi Tano Ligi Kuu Bara Zabadilishwa Kupisha Mchezo wa Taifa Stars

KAMATI ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imefanya mabadiliko madogo ya ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom ili kupitisha mechi ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari